Recent content by Panga La Shaba

  1. Panga La Shaba

    Nyalandu kufanya tamasha kubwa la kumshukuru Mungu kwa kutimiza miaka 15 ya Ubunge wake

    Atatumia muda huo kutangaza nia yake ya kugombea urais
  2. Panga La Shaba

    Diamond & Balozi Kazaura (marehemu) kutunukiwa honorary doctorate na UDSM

    Kumbe ni habari za redio mbao,nashukuru kwa taharifa mkuu...maana kuna mtu alini text,
  3. Panga La Shaba

    Diamond & Balozi Kazaura (marehemu) kutunukiwa honorary doctorate na UDSM

    Katika mahafali ya 44 ya Chuo kikuu Dar es salaam yatakayofanyika katika ukumbi wa Mlimani City tarehe 08 November 2014,aliyekuwa mkuu wa chuo(Chancellor) wa UDSM marehemu Balozi Fugence Kazaura na msanii maarufu Africa aliyeshinda tunzo nyingi zaidi kuliko wasanii wote Tanzanias Diamond...
  4. Panga La Shaba

    Washukiwa 7 wa uchawi wauawa Tanzania

    Umaskini ni kitu kibaya sana....
  5. Panga La Shaba

    Yaliyojiri uwanja wa Jamhuri Dodoma: Rais Kikwete kukabidhiwa Rasimu ya Katiba Mpya

    Najiuliza mbona sherehe imekuwa kubwa sana wakati katiba yenyewe bado,kinacho kabidhiwa ni katiba iliyo pendekezwa.......kwa maoni yangu angekabithiwa ikulu tu,ikipatikana katiba baada ya kura ya maoni....ndio tuone mbwembwe.....What if ikikataliwa kwenye kura za maoni kwa asilimia 95% je???
  6. Panga La Shaba

    DPP mpya aeleza mikakati

    Sijui kama kitaweza kufanya kazi...sana sana kitaonea wanyonge,ujambazi kama wa EPA,Meremeta,Escrow......watabaki kukodoa macho tu
  7. Panga La Shaba

    Wassira apewa hadhi ya Rais bungeni

    Ila kiwafanyiwa scrabing week tatu.....mheshimiwa ni handsome
  8. Panga La Shaba

    Zipi takwimu sahihi za wajumbe wa bmk toka zanzibar??????!

    Kwa style hii ata hii rasimu ya Sita na Chenge ikiletwa kwa wananchi inatapita kwa kura za HAPANA kwa asilimia 85% na NDIO asilmia 15%.....maana CCM kuchakachua ndio imani yao...
  9. Panga La Shaba

    Mh Kessy kanena ukweli mtupu bungeni kwa niaba ya watanganyika

    Kabisa...waswahili wana sema ukweli una uma..
  10. Panga La Shaba

    Uhamiaji kubadilisha tena hati za kusafiria

    Bravo MoudyBoka...
  11. Panga La Shaba

    Kinachojiri harusi ya Joshua Nassari hivi sasa hapa Usa Academy Ground

    Hongera sana Mheshimiwa karibu kwenye chama....
  12. Panga La Shaba

    Shujaa wangu wa Amani: Sheikh Hilary Kipozeo

    Moja ya mahubiri yake ni hii..."Peponi kuzuri tu...Peponi kuzuri sana,unapewa mizingo arobaini,yaani wanawake wazuri wazuri...arobani,na unapewa nguvu ya kupiga wanawake mia,yaani hawa sitini wako kama akiba tu...anamliza kwa kusema...Peponi kuzuri sana,mwenyezi mungu tuingize peponi...Inshallah
  13. Panga La Shaba

    Mambo usiyokuwa unayajua kwenye chokochoko baina ya Rwanda na Tanzania

    Mkomamanga....sio kweli ndege ilikuwa na rubani wa kitusi au kihutu,ndege ilikuwa aina ya Falcon,na ilikuwa na marubani wa kifaransa na wahudumu wa kifaransa...
  14. Panga La Shaba

    Mambo usiyokuwa unayajua kwenye chokochoko baina ya Rwanda na Tanzania

    Quezon...umeandika vizuri lakini kuna mambo natakuweka sawa,kwanza ile ndege iliyokuwa umewabeba maraisi hao wa wawili ilikuwa ikitoka Dar es Salaam na sio Arusha,na mikutano ilikuwa ikifanyika Kilimanjaro Hotel chini ya rais mstaafu Mzee Mwinyi....bado napata shaka ukiniambia kuwa ndege...
Back
Top Bottom