Recent content by Pandikizi

  1. P

    Mei Mosi 2012: JK akasirishwa na utafunaji wa pesa za umma, wahusika kukiona...

    je watakao kiona ni pamoja na wale wa RICHMOND, KAGODA, MEREMETA na ripoti ya CAG?? au kuna mafungu ya watu wa kushughulikiwa?
  2. P

    Simba vs setif live hapa

    Wapi mabondia wetu...Sisi hata tukiwa pungufu hatuna noma ni kichapo tu ndani ya uwanja...Makonde nomaaaaaaaaaa. Njooni Msimbazi mjifunze soka
  3. P

    Simba vs setif live hapa

    Hatimae kimeeleweka Mnyama aua mtu huko Setif Algeria....SIMBA oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.... TUMEVUKA raudi inayofuata
Back
Top Bottom