macho_mdiliko
JF-Expert Member
- Mar 10, 2008
- 21,770
- 39,555
Mkuu.... Kuna wana usalama , polisi na wanajeshi wengi wameshachoshwa na huu usanii na ubabaishaji. Hawa ni wengi saaana. Kwani unafikiria wana maisha mazuri?mimi nashangaa sana ...mtu wausalama wa taifa ametumwa afanye kazi in favour of ccm halafu anaanza kupayuka siri za kazi aliyotumwa ... inawezekana kweli au ni hisia za watu
anyways lisemwalo lipo kama halipo linakuja