Jamani, mi nafikiri CUF sio chama cha Upinzani, na CHADEMA hawana sababu ya kuwashirikisha CUF kuunda kambi ya upinzani maana wataidhoofisha sana.
Sababu:
Ikiwa CUF na CCM wameunda serikali Zanzibar na Katibu wao (CUF) Mkuu ndiye makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, na wabunge wake 7 wameshika...