My POV
BIASHARA
-ina risk kubwa but also high return (profit)
-peronal freedom ya kujiamulia ni kubwa
-inahitaji consistency na personal supervision ili ikuwe
-inahitaji critical thinking sana (pasua kichwa)
-possibility ya kukua ni kubwa
-inakupa mwelekeo mzuri kama ukiimudu vizuri as kila...
Either wamefulia au lah, ni wazi ya kuwa:-
1. Yanga waliwekeza from matchday 1 to the final na wakabeba, wakapewa kombe la kutembelea. Huku mamlaka zikijipiga kifua kuwa tunaongoza ligi. So why usilipe stahiki ndiyo uanze na msimu mwingine.
2. CRDB walikuwa na kazi gani ama walilipa nini kwa...
My POV
Ni kweli vijana wa Kenya hawana adabu na wanafuata mkumbo BUT sio rahisi kuwaendesha as nobodies ama watu wasiojielewa.
1. Wanakuwa active kustep up kuongea kama kuna kitu hakipo sawa nationwide.
2. Wana umoja as wakipanga kitu ama wakiwa na lao ni ngumu kupangua mpaka waki-achieve (not...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.