Recent content by Panda2

  1. Panda2

    JamiiForums Tanzania nifahamisheni

    jamani kama kuna yoyote anayefahamu kilipo chuo cha usafirishaji wa abiria anijulishe
  2. Panda2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania nielewesheni

    jaman kuna mwanafunz alpata div3,,25(Civics-D,Kiswahili-D,History-D,Geography-D,Physics-D,Chemistry-D,Biology-C,English-C,Mathematics-F)kapangiwaga PCB,,,lakini huyu alpata div3,24(civics-C,Kiswhili-C,History-C,Geography-D,Physics-D,Chemistry-D,Bioligy-DEnglish-C,mathematics-F)hakupangiwa...
  3. Panda2

    JamiiForums Tanzania Karibu tushauriane juu ya nini cha kufanya na matokeo yako ya kidato cha 6

    nina D masomo yote ya sayansi na F ya mathematics,,,ni chuo kipi kinanifaa na kozi gani
  4. Panda2

    JamiiForums Tanzania Nishaurini: Nilipata division 3 kidato cha nne, nataka kurudia mtihani

    Ciics-C,,Hist-C,,Engl-C,,Kisw-C,,Geo-D,,Bios-D,,Phy-D,,Chem-D,,Maths-D
  5. Panda2

    JamiiForums Tanzania Nishaurini: Nilipata division 3 kidato cha nne, nataka kurudia mtihani

    Nimemaliza kidato cha nne mwaka jana na nikapata div3 ya 24, sinafanikiwa kuchaguliwa form5 na nimebaki njia panda juu ya hatima yangu. Nataka nirudie masomo niliyopata D na F mwakani kwani nina uwezo wa kufanya vizuri lakini tatizo nalazimishwa niende Veta. Je kupi bora??
Back
Top Bottom