Nishaurini: Nilipata division 3 kidato cha nne, nataka kurudia mtihani

Viwango vya ufaulu kwenye masomo yako vikoje? Maana umesema una div 3 ya 24 bila kufafanua. Weka ufaulu wako tukushauri pa kwenda
 
VETA ndo kuna maisha pale KOZI zote zipo pale vile vile utapata hadi fursa ya ujasiria mali ili uweze kujing'amua na soko la kuajiriwa
NB:KUSOMA FORM SIX NI KUPOTEZA MUDA MDOGO WANGU
 
Ulisoma mkondo gani hukuweka ufaulu wako wa masomo

Umesoma mkondo gani

Weka ufaulu wa masomo yote angalau tutapeana ushauri kwa fursa zaidi
 
Nenda ugavi au uhasibu. Kozi za sayansi sizani kama utapata sababu masomo ya sayansi umefeli. Au kama utaweza nenda jeshini
 
Back
Top Bottom