Recent content by PanAfricanists.

  1. P

    Usaliti wa Dkt. Slaa ni upi?

    Mimi binafsi namkubali sana Dr slaa, ni gwiji mbobezi kwenye siasa. mwenye msimamo na kuamini anachokiamini, amekipigania sana chama cha chadema. anajua kupangua hoja na kujenga hoja zenye mantiki na ushindani. ni mtu mwenye mtizamo wa...
  2. P

    Utoto mitandaoni: Mnamu-overate sana Kagame, hawezi na hatoweza

    hivi hamjui kuwa kagame anaongoza Tanzania kwa sasa? kagame anaitumia Tanzania kupata ushawishi wa AU ili hapate kutumia hela za Africa development Bank kwenye miradi yake, lakini ata style ya uhongozi frani unafanana na wa kwake.
  3. P

    Mh. Rais Magufuli; Iongezee uwezo STAMIGOLD

    Tusidanganyane kitu kikishaitwa cha umma ni hovyo tu. ata angewapatia mtaji kiasi gani hawataweza kudumu kwa muda mrefu, Mwalimu alifanya yote hayo lakini alishindwa serikali kufanya biashara sio falsafa yake duniani kote.
  4. P

    IMF yaonya tena kusinyaa kwa uchumi wa Tanzania: Sekta binafsi zinakufa, mapato na pato linashuka kwa kasi

    ukiona disposable income haipo unategemea uchumi ukuwe kivipi? ukiona fm academia wanaenda kupiga mziki kwenye ukumbi arafu kiingilio ni bia moja unategemeanini? ukiona mtua anaenda kuchukua mkopo benk ili afanye biashara na benki zinaweka vikwazo vingi...
  5. P

    Freeman Mbowe: Alichokisifia Lowassa juu ya utendaji wa Rais Magufuli sio msimamo wa CHADEMA

    Mimi Namuomba Mbowe akubali makosa na ajiuzuru ili kukinusuru chama kutopoteza wanachama wake.
  6. P

    Tuache siasa kwenye ujenzi: Majibu ya nyufa hizi, yatolewe na The Professionals, AQRB, ERB, CRB, na sio mtuhumiwa TBA!

    Tuliawaambia kuwa serikali inajidai kufanya kazi yenyewe uku ikiwa haina wataalamu wa kutosha wakakataa. sasa inabidi ata uchunguzi wa haya majengo ufanyike kule Kagera ihungo wanakojenga TBA, pale Magomeni kwenye majengo na kwingine kote wanakojenga...
  7. P

    Kalemani hapa solution kwa sasa ni IPTL au tusubiri mvua mwezi wa tatu 2018

    Ukweli ni kwamba serikali inakurupuka kufanya maamuzi yanayoligalimu taifa, wazungu wanasema hivi technical Problem needs technical solution, haukuwa uwamuzi mzuri wa Kumuondoa Prof Muongo kwenye Wizara hiyo prof mbobezi kwenye maswala ya nishati lakini...
  8. P

    Rais Magufuli aifungua Hospitali ya Taaluma na Tiba - Muhimbili kampasi ya Mloganzila

    hivi waziri wa ujenzi atafanya kazi gani na waziri wa afya?.
  9. P

    Kwanini Chato International Airport na si Omukajunguti international Airport? Kagera inaonewa sana

    Lakini mkoa umetupwa kabisa. ukienda Mbeya kuna Mashirika Mengi, NGO nyingi zimependekezwa uko Taasisi za kilimo kibao . Njombe kuna mashamba makubwa ya serikali yanayolimwa miti na kuwafundisha wananchi, corporatives ziko nyingi uko, Arusha...
  10. P

    Kwanini Chato International Airport na si Omukajunguti international Airport? Kagera inaonewa sana

    umuimu wa Kujenga uwanja wa ndege wa Omukajunguti ilikuwa kwanza kufungua ukanda wa kagera kwenye dunia. lakini pili kuvutia wawekezaji wa viwanda vya nyama na Maziwa kuwekeza na kwa kuwa soko kubwa ni nchi zilizouzunguka mkoa. zenye upungufu wa nyama na...
  11. P

    Kwanini Chato International Airport na si Omukajunguti international Airport? Kagera inaonewa sana

    Nilitegemea kwa mtu anayeona mbali Kagera tunaitaji Meli kubwa ya mizigo. ichukue mizigo kutoka Mwanza hadi Bukoba ili sasa waganda waweze kuona kwao ni faida kupitishia mizigo yao upande wa Tanzania. serikali itafute ata mbia au itumie hela...
  12. P

    Kwanini Chato International Airport na si Omukajunguti international Airport? Kagera inaonewa sana

    Ukweli ni kutofanya mahesabu ya logistics forward and backward linkages, ukiangalia mkuo wa kagera umepakana na nchi ngapi ambazo ni land locked hauwezi kuubeza mkuo wa kagera kama unataka kuwin economies of scale za nchi zilizouzunguka, hii ni kweli ni...
  13. P

    Uteuzi wa Gavana wa BoT, Profesa Florens Luoga umezingatia sheria ya Benki Kuu ya mwaka 2006

    uyu miaka yake yote atabakia ndani. vikao vya kimataifa vya BOT uwausisha wataaramu wa uchumi. hatoarikwa kokote.
  14. P

    Kuhusu data: Zitto "ambishia" Rais Magufuli

    aya sasa . kama kwa muda mfupi deni limekua kiasi hiki . mpaka miaka mitano ipite si ni baraa?
  15. P

    Pius Msekwa: Suala la kuongeza miaka 7 halikubaliki, Labda iwe Minne

    hivi uyu nkamia nani anaweza kutupatia cv yake? sizani kama ni mtu serous kwenye nchi.
Back
Top Bottom