mi naona nchi hii imefika mahala watu wanahitaji mjadala kuhusu udini.Ni rahisi na ni kawaida sa kusikia viongozi Wa siasa wakinukuu ma maneno kutoka kwenye biblia na isiwe tatizo ila MTU akiwa ananukuu qoran lazima aonekane mdini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.