Recent content by Pami

  1. Pami

    Fursa gani ipo kwenye Halmashauri uliyopo?

    Nenda njombe.Vijijini hasa vijiji vya matembwe,Isitu na kadhalika
  2. Pami

    Fursa gani ipo kwenye Halmashauri uliyopo?

    Njombe maharage nunua vijijini
  3. Pami

    Kabla haujakopa milioni nne kwaajili ya Ada ya mwanao, tuliosoma Cuba tuna ujumbe wako hapa

    Watoto wayajue magumu pia.Sio soft soft sisi kusini apata na.elimu kwa vitendo marenda mirenda haipo.Tokea anasoma anakaa kwenye mraba na shule.Hapo akishinfwa kuajirika snajiajiri katika lilimo anaoa au kuolea poa ka isa
  4. Pami

    Mlioomba nafasi za Afisa Maendeleo ya Jamii tupeane mbinu

    Chukua transcript google aina zote za course zilizomo humu.Soma soma somAAAAAAAAA SOMaaaaaa
  5. Pami

    Mlioomba nafasi za Afisa Maendeleo ya Jamii tupeane mbinu

    Nasahihisa A)Objective of Ema
  6. Pami

    Mrejesho kwa waliofanikiwa kupitia TAESA

    Kuna MTU namfahamu kala maisha chanzo alipata ajira pitia TAESA lakini muda umepita kidogo
  7. Pami

    Mlioomba nafasi za Afisa Maendeleo ya Jamii tupeane mbinu

    Mfano mazingira 1)Ilitaka objectives of Nemc 2)iliuliza aquatic environment Napopakumbuka ni hapo tu.Maswali ya darasani tu
  8. Pami

    Mlioomba nafasi za Afisa Maendeleo ya Jamii tupeane mbinu

    Nakwambia.Tafuta soma sana.Nimepiga pepa mwaka huu.Huo ndo uzoefu wangu
  9. Pami

    Mlioomba nafasi za Afisa Maendeleo ya Jamii tupeane mbinu

    Soma notes kama zilivyo kuanzia first year mpaka last year
  10. Pami

    How mnaweza ku date na last born?

    Sio wote.Mimi ni last borne napambana zaidi unaweza sema first borne mpaka Nimejenga.Asante Mungu kwa kuniwezesha
  11. Pami

    Wanafunzi kukacha kidato cha 5 & 6 na kujiunga Vyuo vya Diploma, tatizo ni nini?

    Advance ni namna ya kukuza upeo wa Akili.Nakwambia ukikosa Form six wengi uwezo wa kupambanua mambo unakuwa mdogo
Back
Top Bottom