Recent content by pambe samanini

  1. pambe samanini

    JamiiForums Tanzania Danstun Ndunguru ndiye Jaji aliyeruhusu Bandari kuuzwa kwa DP WORLD, si wa kumuamini, aangaliwe kwa umakini

    Mimi nauliza tu kama atakuwa na nafasi hiyo
  2. pambe samanini

    JamiiForums Tanzania Danstun Ndunguru ndiye Jaji aliyeruhusu Bandari kuuzwa kwa DP WORLD, si wa kumuamini, aangaliwe kwa umakini

    Mimi nisiyefahamu sana Sheria, ikotokea lisu kapatikana na hatia na kuhukumiwa, je! Aweza kukata rufaa kwenye mahakama yetu ya rufani?
  3. pambe samanini

    JamiiForums Tanzania KKKT mmekubali kukumbatia Nyoka, acha awang'ate, Shetani hana rafiki

    Awe hai au amekufa kila Mungu ana watumishi wake
  4. pambe samanini

    JamiiForums Tanzania KKKT mmekubali kukumbatia Nyoka, acha awang'ate, Shetani hana rafiki

    Atakuwepo tu kwanini akosekane
  5. pambe samanini

    JamiiForums Tanzania KKKT mmekubali kukumbatia Nyoka, acha awang'ate, Shetani hana rafiki

    Namba minari za makamisa zinavyotumika ni kumkosea Mungu na watu wake. Kama nchi siyo ya kidini basi viongozi wa nchi au serikali wabako na wajibu watu wa kuongoza nchi na watu wake, na wasipewe nafasi ya kujifanya wachungaji, manabii, mitume, manabii na walimu, waziache kazi hizo kwa
  6. pambe samanini

    JamiiForums Tanzania Lissu atafungwa kutokana na maneno yake, hata kama hakuwa na nia hiyo. Yalitokea kwenye uchaguzi ni rahisi kumhusisha nayo

    Narudia tena, Sheria ziwe mbovu, zimtie lisu hatiani au kumweka huru kitatoa nafasi wa Sheria zetu na katiba yetu kuboreshwa pia kubadilishwq ili kuendana na mabadiliko yaliyopo. Bahati mbaya sana watu tunatoa hukumi wakati mahakama haijatoa hukumi hiyo. Tuweke pembeni hisia, Imani, na itikadi...
  7. pambe samanini

    JamiiForums Tanzania KKKT mmekubali kukumbatia Nyoka, acha awang'ate, Shetani hana rafiki

    Ushauri wangu ni kuwa kuwe na kanisa la serikali ambako viongozi watahubiri, wataombea watu na taifa; madhabahu ya Mungu aliye hai ibaki na watu wake walioitwa na Mungu kwa kazi hiyo
  8. pambe samanini

    JamiiForums Tanzania Lissu atafungwa kutokana na maneno yake, hata kama hakuwa na nia hiyo. Yalitokea kwenye uchaguzi ni rahisi kumhusisha nayo

    Suala la kisheria siyo sula la itikadi, Imani, chama, hisia, bali uwezo, uadilifu na utashi wa kuamua jambo Fulani katika jamii kwa manufaa ya umma na nchi. Ikotokea lisu katiwa hatiani Haina maana kuwa Sheria zetu ni mbovu, bali mchakato wa Sheria zetu na katiba mama kuboreshwa kwa kufanyiwa...
  9. pambe samanini

    JamiiForums Tanzania Nawakumbusheni Ya Kuwa Field Marshall Paul Makonda Hajawahi kushindwa vita yoyote ile. Huyu ni Zaidi ya Alexander The Great. Msimjaribu Mtaumia Vibaya

    Kupoteza pambano ni njia ya kupoteza vita, bahati mbaya sana Tanzania hushinda vita kabla ya pambano kwa njia ya maneno. Safari ya kimichezo siyo ya bahati( Mungu) bali ni maandalizi na uthubutu wa timu na watu wake
  10. pambe samanini

    JamiiForums Tanzania FT: Taifa Stars 0-2 Guinea-Bissau | Kufuzu AFCON 2027 | Uwanja wa New Amaan

    Kabla timu haijacheza tunaongea sana, tukifunga tunaongea ongea sana, tukifunga tunafungwa na midomo yetu
  11. pambe samanini

    JamiiForums Tanzania FT: Taifa Stars 0-2 Guinea-Bissau | Kufuzu AFCON 2027 | Uwanja wa New Amaan

    Midomo yetu ndiyo inatupeleka Afcon lakini timu hii Haina uwezo wa kutupeleka huko
  12. pambe samanini

    JamiiForums Tanzania Tulifurahie tu Bwawa Kubwa la Umeme la Mwalimu Nyerere ila tujue yafuatayo

    I don't believe and trust myself
  13. pambe samanini

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mwaipopo: Watanzania Muombeni Mungu Tundu Lissu anyongwe

    Tunahitaji viongozi wa kiroho au kidini kupigana na kudai haki, Cha kushangaza waliopo wengi wanaishi kutaka ya kwao
Back
Top Bottom