Recent content by pamba boy

  1. P

    JamiiForums Tanzania Jambo nina uhakika nalo ni kwamba kuna team imeundwa iko busy kutafuta namna ya kumchafua Polepole, usishangae ukisikia kaiba fedha za ubalozi Cuba!

    Si kweli,labda ungesema ndani ya CCM issue ni maslahi,iwapo yataonekana hayako upande wako utakuwa adui wa wanufaika! Reference pole pole,bashiru,nk suala la lisu ni tofauti kabisa
  2. P

    JamiiForums Tanzania GEITA: Mwalimu Shule ya Msingi Waja ahukumiwa kifungo cha maisha kwa kumuingilia kinyume Mwanafunzi wake mwenye umri wa Miaka 7

    Mahakama imehukumu ila Kwa ambae hujui SI vyema kuhukumu,Kuna siku mtahukumiwa! Kuna utata mkubwa sana Kwa hili sakata,vita ya ki uchumi ni mbaya sana!
  3. P

    JamiiForums Tanzania Baada ya "nyongeza" E-loan kwenye mfumo wa ESS umezidiwa na kupelekea kufungwa kwa muda

    Imeandikwa wapi lazima ufe tajiri?
  4. P

    JamiiForums Tanzania Kocha mpya wa yanga ni Romain Folz (35yrs old )

    Kwa ligi ya Tanzania kocha akiwa hata mwijaku au Bambo yanga anakuwa bingwa Kwa sababu wao ushindi unategemea bahasha na kudhamini wa timu 8 za ligi kuu!
  5. P

    JamiiForums Tanzania GSM Ametufanya anachotaka

    Tunazidiwa na mbinu nje ya uwanja,hata Mimi Huwa najiuliza,wachezaji wa simba one against one na mchezaji wa yanga,wa utoplo anachukua mpira
  6. P

    JamiiForums Tanzania Mind game za kishamba na utoto sijui zinaweza kumuathiri nani!

    Kama yanga walitumia mbinu ya kugoma tarehe 15 na kutumia viongozi wa kisiasa waswahili jk &his company na kumshawishi mlipa Kodi mkubwa nae awepo kwenye kikao Ili kuongeza uzito wa hoja Kwa nini simba iwe dhambi kutumia japo passive reaction kama hiyo Ili mamlaka zijue kuwa simba hawakubaliani...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Kama mlikuwa mnatuchukulia Simba SC poa poa nadhani kwa hiki kidogo tulichowafanyia leo ndiyo mtajua hutukukosea kuja na Msemo wa UBAYA UBWELA

    Jitathimini kabla ya kuandika,Kwa hiyo una uhakika yanga anamfunga simba?
  8. P

    JamiiForums Tanzania Taasisi zijifunze kwa Simba kulinda kuvuja kwa Taarifa Nyeti

    Kuna wakati uwe unaficha ujinga,issue siyo mapato,Kwani hujui 85% ya tiketi ilikuwa imeuzwa tayari? Kama simba watacheza basi ni mind and technically game,kama hawatacheza basi ni misimamo ya maana sana!
  9. P

    JamiiForums Tanzania Tafsiri ya kiroho mechi ya Yanga na Simba. Yanga atashinda

    Uongo mkubwa,jipange Tena Kwani mechi no saa 11:00 jioni.
  10. P

    JamiiForums Tanzania Waamuzi wa kigeni kuchezesha Derby, ni Moja kati ya takwa la Yanga

    Kuna wakati Mungu anawafunga watu aibu ila mwisho wa siku ujasiri wa aina hii ni uoga wa kificho.
  11. P

    JamiiForums Tanzania Iran imerusha makombora kwenye base za USA za Qatar na Iraq

    Ni kweli uchumi utayumba ila so kweli ataibuka ataibuka super power ki uchumi tofauti na aliepo!
  12. P

    JamiiForums Tanzania Fadlu Davis Kocha Wa Simba: Refarii Asitunyime Penati

    Napenda sana ujengaji wako wa hoja ila hii ya magoli ya penati mmmh nimuachie rais wa FIFA inawezekana penati iko nje ya mchezo
  13. P

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rais Karia atatangaza kujiuzulu TFF ndani ya saa 24, sababu kuu ni kuikumbatia Azam TV

    Acha tetesi za uongo,azam ana mkataba wa 200b
  14. P

    JamiiForums Tanzania TFF,bodi ya ligi na TAKUKURU kesho kuweni makini na upangaji matokeo uwanja wa jamhuri Dodoma

    Hata Mimi binafsi siwezi kuangalia mechi za yanga dhidi ya Dodoma Jiji na singida big stars
  15. P

    JamiiForums Tanzania Rais Trump anampenda sana Mungu: Sikiliza alivyohitimisha hotuba yake baada ya kuvisambaratisha vinu vya nyuklia – Iran

    Nuclear ni hatari Kwa usalama wa mwanadamu,kama Iraq hawakuwa na nuclear Kwa nini wajitape na kujitangaza wanayo? The same Kwa Iran,kama hawakuwa na nuclear Kwa nini watishie kuwa Wana nuclear? Marekani ameamua kuingilia Ili kuokoa maisha ya watu maana Kwa hali ilivyokuwa Iran Kwa kuzidiwa na...
Back
Top Bottom