Recent content by pam g

  1. P

    JamiiForums Tanzania Kubenea kumvaa Dr. Slaa

    Nyie tatarikeni km bisi lkn 25oct kalamu ya 200 itaongea
  2. P

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri StarTv: Mahojiano Maalum ya Dr. Slaa na Star TV - Tarehe 4 Septemba, 2015

    Vyovyote iwavyo na iwe chaguo langu ni Lowassa tu
  3. P

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mke wa Dr. Slaa, Rose Kamili amshangaa Dr. Slaa kuwashambulia Lowassa, Sumaye

    Dr.Slaa ni mtumishi wa Mungu,hv ni Mungu yupi anayemtumikia?na anamtumikia kwa namna gani?upadre ulimshinda na ndoa yake ya kwanza pia ikamshinda sasa tunaanzaje kumuamini ktk hili?atafute sehemu apumzike ale pesa zake alizopewa kwa usaliti alioufanya lkn mabadiliko yako palepale
  4. P

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Najuta kuoa mwanamke mlokole

    Aysee Mungu awabariki sana kwa uamuzi wenu kwani hata yeye anachukia kuachana
  5. P

    JamiiForums Tanzania Mange: Listi ya niliogombana nao, yupi naweza kuelewana nae?

    Nasikia Kibatara na Joyce Kiria ndio walienda pale kituoni kwa ajili ya kumdhamini
  6. P

    JamiiForums Tanzania Kushindwa kwa Dr AshaRose Migiro hata kwa nafasi ya pili

    Kura za Wazanzibar nyingi zilienda kwa mzenji mwenzao,za lowassa zikaenda kwa rais mtarajiwa zilizobaki ndio zikamwangukia bi Asha
  7. P

    JamiiForums Tanzania Nina shida nauza friji kwa 270,000

    Aina gani?
Back
Top Bottom