Sijui ni shindani linahusiana na nini, ila niliona post mitandaoni inasema watu wanatumiwa vocha wapige kura, na vocha huwa zinauzwa na ili zinunuliwe zinahitajika pesa na kama pesa zilipatikana means palikuwa na mtoaji wa pesa. Sasa hapo kuna kipi amekosea, kama yeye ndiye facilitator wa huo...
Sasa kinachokushangaza ni kipi kwa yeye kulalamika? Ulitaka yeye ndiye awaleteeni hiyo satelite?
Kwa yale unayoandika ukiyakosoa humu au ukipendekeza namna ya kufanywa kwanini usiyafanye?
Hicho ndiyo unachokijua? Weka mahaba pembeni ukautafute ukweli. Kwani kabla ya kuundwa kwa Tanganyika mwaka 1920, watu wake walikuwa wakiishi wapi?
Wayahudi wapo pale tangu kipindi hata wapalestina hawajulikani ni watu gani
Katika hili Heche lazima awajibike, hapa ni sawa na kuwapa mimba watu wote wa imani hii wake kwa waume. Haiwezekani anamkuta mtu amejisitiri yeye anampa mimba
Acha hizo, dini pekee itakayokupeleka mbinguni kiurahisi ni uislam. Katika uislam haulazimiki kufanya kila kitu ili kwenda mbinguni. Unaweza ukachagua vichache tu, paka rangi kwenye ndevu, ua wasioamini au jitoe mhanga uondoke nao. Oa wake kadhaa, kama huna njaa usile kitimoto, ukila wengine...
Kwanini unataka Mwanamke Malaya aache umalaya? Haujui kuwa Malaya wapo kwa ajili hiyo? Wasipikuwa Malaya unatarajia wawe wa aina gani?
Wa kuinywa siyo Mwanamke Malaya, bali ni anayejaribu kutaka kujimilikisha Malaya amfanye awe wa kwake pekee. Wale wapo kwa ajili ya jamii, watumie sogea mbele...
Kuna siku watakuja kuuliza “kwani Tume ya uchaguzi ndiyo inajenga barabara? Kwani matokeo halali ndiyo yanaleta maji? Kwani Jeshi ndiyo linaleta chakula mezani?”
Kwani Wwave na mechanics ni nadharia? Si ndiyo tunayotumia kutengeneza mifumo ya solar na pampu za maji, mifumo ya mawasiliano (wireless/radio), sensa za usalama, teknolojia za nishati na uhandisi. wave na mechanics ni bonge la biashara yenye pesa ya maana
Huyo ni mfanyakazi wa ndani au msemaji wa familia? Huyo alipaswa kuongelea mauaji yalivyofanyika kwa kadili ya alivyoyashuhydia. Hayo ya mgogoro wa muda mrefu, na nani alinunua Kiwanja yeye yanamhusu vipi? Anafahsmu nani alitoa hizo hela za kununuliwa Kiwanja? Mbona amejipa mamlaka ambayo hana?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.