Recent content by Pakada

  1. P

    Ninaishi na maumivu

    Poleni sana Mungu awape faraja yake marehemu apumzike kwa Amani, pole sana, maumivu yakufiwa yaache tu.
  2. P

    Biblia inasema Fungu la kumi apewe mlawi, Je hapa Tanzania kuna walawi? Je wachungaji ndio walawi ?

    Kwani nani amekataa kuwa ni mtoto wa Yakobo? Ndiyo maana unaambiwa Agano la Kale ni kivuli cha Agano jipya, eg. Padre maisha yake unayaonaje? Mlawi wa Agano la Kale angetosha kuwa mhudumia ulimwengu mzima?
  3. P

    Takwimu: Tanzania kuna waislamu Milioni 22 tu sawa na asilimia 34.01% ya idadi ya watu wote, halafu ukiwaambia wanakataa wanasema wako wengi

    Ila hiyo mingine ni waislam wakutafuta na kigoma ni baadhi ya wilaya sehemu nyingi wapo kina Karumanzira😂
  4. P

    Biblia inasema Fungu la kumi apewe mlawi, Je hapa Tanzania kuna walawi? Je wachungaji ndio walawi ?

    Again la Kale ni kivuli cha Agano jipya, hivyo mlawi wa sasa ndiye Mchungaji
  5. P

    Leo nimetimiza kabila la 125 kuligegeda hapa Tanzania.

    Na wahazabe ndani, sasa wasivyokuwa na nyumba mlioelekana wapi? Nyumbu hawajawachungulia kweli Halafu nawaonaga wanavyopika nyama zao Kama ngedere wanapika pamoja na kichwa ngedere anavyokemua kwenye jungu😛😛😛
  6. P

    Kwanini Rais Hatembei na Mume wake? CCM Haina washauri wa maadili?

    Labda anakuwa kwenye gari jamani ! Kwani mpaka apande jukwaa I?
  7. P

    GE2025 Prof. Kabudi: Samia ametimiza aliyoshindwa Mwalimu Nyerere

    Mzee wa jalalani anaonyesha jinsi alivyo wa dampo kajungeni
  8. P

    Ukipotelewa na mtu wako, jua yuko eneo hili. Kwa wale wanaotekwa… (Episode 7)

    Tuanze na hao kwanza wanaweza saidia
  9. P

    Ukipotelewa na mtu wako, jua yuko eneo hili. Kwa wale wanaotekwa… (Episode 7)

    Pande zile hakuna aliesombwa, nenda kaulize vizuri!
Back
Top Bottom