Recent content by paka chongo

  1. paka chongo

    JamiiForums Tanzania Maumivu upande wa kushoto chini ya mbavu

    Ccbrt
  2. paka chongo

    JamiiForums Tanzania Maumivu upande wa kushoto chini ya mbavu

    Nilifika hospital na nimekundulika kuwa na mawe kwenye figo nipo kwenye matibabu ss
  3. paka chongo

    JamiiForums Tanzania Maumivu upande wa kushoto chini ya mbavu

    Ndio
  4. paka chongo

    JamiiForums Tanzania Maumivu upande wa kushoto chini ya mbavu

    Nitumie dawa gani itakayo nisaidia
  5. paka chongo

    JamiiForums Tanzania Maumivu upande wa kushoto chini ya mbavu

    Me
  6. paka chongo

    JamiiForums Tanzania Maumivu upande wa kushoto chini ya mbavu

    Toka juzi nasumbuliwa na maumivu makali sana upande wa chini ya mbavu kushoto mwenye kujua dawa au tiba anisaidie jamani naandika nikiwa nimelala kitandani plz
  7. paka chongo

    JamiiForums Tanzania Mtoto kutembea uku akichapia mguu mmoja

    Habari za muda, Niende kwenye kuonba msahada mtoto wangu kwa sasa ana umri wa miaka 3 ila kuna hali inayo mtokea nimeshidwa kutambua nini naomba kufahaam mtoto kucha tembea uku akichapia mguu mmoja ambao ni wakulia mwanzo niliona labda atakuwa ameumia kwa michezo ikapita miez kama miwili akawa...
  8. paka chongo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii ni Experience yangu niliyoipata kwa Mwanamke Mwembamba

    Mh kwa kweli mm nimeoa miaka 9 uliyo pita,na kusema ukweli Nina mchepuko mwembamba Sana pia sura dah we acha tu Ila Sasa usiongee kuhusu k yake unaweza kurudia ATA raundi kumi ni nzuri sana na pia Sina mpango wa kuachana nae kisa sura ntavumilia tu
  9. paka chongo

    JamiiForums Tanzania Chuma mguuni mwaka wa nne

    Kuna kikohozi kikavu Cha mda mrefu akipon nahisi ni moja wapo ya athari
  10. paka chongo

    JamiiForums Tanzania Chuma mguuni mwaka wa nne

    Nilipata ajali miaka 4 iliyopita ya mguu sehemu ya goti ilipelekea ni fanyiwe upasuaji mkubwa maana na kumbuka nilipigwa nusu kaputi kwenye mida ya saa 1 asubuhi Ila kuja kuzinduka ulikuwa saa mbili usiku hapo muhimbili,point ni kweli ukikaa na ichi chuma mda mrefu Nini athari zake?
  11. paka chongo

    JamiiForums Tanzania Nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

    Zungu mchumia tumbo
  12. paka chongo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utata usioisha na aliyekuwa rafiki yangu!!!

    jamaaa kweli mshamba
  13. paka chongo

    JamiiForums Tanzania Maumivu makali kwenye mshono

    Baada ya mimba ya kwanza kufanyiwa operation ni kama 4yr, na sasa yuko na mimba ya miezi mi nane tatizo lina kuja hapa kwenye mshono wa operation upata maumivu yasio elezeka wakati wa kusimama ni makali sana inapelekea kuna wakati niwe kama nalishika tumbo lake kwa chini ivi kama na msaidia...
Back
Top Bottom