Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 14,520
- 25,498
Na viwanja vya ndege ni hatari sana sana nashangaa bongo ile hawazingatii barakoa wala sanitizer wakati wanapokea wageni tena kutoka kwenye Nchi hatarishi Brazil,India,UK hata SA pia...Wabongo namna tuna laana ya aina fulani. Ila uzuri (japo inasikitisha) ni kuwa yule aliyekuwa analisha watu ujinga wa nyungu alishindwa kuitumia hiyo nyungu alipougua.