Recent content by painedman

  1. painedman

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Wasidhanie kumfunga Lijualikali wanamuondolea sifa za kuwa Mbunge

    lisu azungumzie na kesi ya Lema!
  2. painedman

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aongoza wananchi wa Dar kuaga mwili wa Dk. Didas Massaburi, atoa neno

    Hahahahaaa Naona watu wamepata pakutokea utasikia kuna maandamano ya nchi nzima kuipinga kauli ya mzee Magu
  3. painedman

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Kuhusu uamuzi wa Rais Magufuli katika kuhitimisha mbio za mwenge

    kWELI NIMEAMIN CHADEMA INAENDESHWA KWA MAYUKIO AISEE
  4. painedman

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Kuhusu uamuzi wa Rais Magufuli katika kuhitimisha mbio za mwenge

    KWELI NIMEAMINI INAENDESHWA KWA MATUKIO AISEE
  5. painedman

    JamiiForums Tanzania Serikali kuhakiki tena upya watumishi kwa mfumo wa kielektroniki

    ila kwa hili serikali nashindwa kuielewa aiseee
  6. painedman

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa vijana wenzangu siku ya tarehe 01/09/2016

    Naona kuna watu wanauchungu sana na Demokrasia hahahahaha aya bn
  7. painedman

    JamiiForums Tanzania Hotuba za Rais Magufuli za kichwani zinakera, asome hotuba anayoandaliwa

    MBONA WATU HAMUISHI KULAAMIKA KAMA WANAWAKE WALIOOLEWA MITALA' MKIONA TZ HAKUNA DEMOKRASIA NENDENI SUDANI YA KUSINI KWENYE DEMOKRASIA
  8. painedman

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa mkoa Dar ndugu Makonda akiombewa Dua na Mufti Mkuu wa Dar!

    Makonda ana wawasha sana na kuwanyima ucngiz kwa kweli hadi mnajivika upofu hata kwa mema anayoyafanya.... hii ni TZ wajomba hisia za vyama weken pembeni wajomba tuijenge nchi yetu
  9. painedman

    JamiiForums Tanzania Nyerere Hakuwa na mapungufu, alikuwa Kiongozi Mbovu!

    acha kutanguliza hisia utakuja ufanywe vbaya siku moja mana hisia zingine zinakuja kwa kwa mlango wa nyuma..... sikiliza hoja toa hoja acha UNAZ
  10. painedman

    JamiiForums Tanzania Nyerere Hakuwa na mapungufu, alikuwa Kiongozi Mbovu!

  11. painedman

    JamiiForums Tanzania Elimu bure na ufaulu wa shule za Serikali

    SERIKALI KIPITIA WIZARA YA ELIMU HAINA BUDI KUKAA NA KUTATHMIN HAYA MATOKEO KWA JICHO LA TATU. BINAFSI NINAYACHUKULIA MATOKEO MABAYA YA SHULE ZA SERIKALI NI UJUMBE KWA SERIKALI KUA WALIMU WANAHITAJI STAHIKI ZAO ZA MSINGI IKIWEMO KULIPWA MADENI SUGU KWANI MI NINAAMINI MWALIMU ALIYESOMEA NA...
  12. painedman

    JamiiForums Tanzania Wasapu grup...

    Kwa atakaehitaji kujiunga na grup la wasapu litakalohusu mahusiano,mapenzi,urafiki na siasa kidogo then vigezo na mashart vitazingatiwa... 0684290092
  13. painedman

    JamiiForums Tanzania Naruhusiwa kuanzisha grup la wasapu kutokea hapa

    Kwa aliye tayari anitext kwa hii no... 0684290092
  14. painedman

    JamiiForums Tanzania Naruhusiwa kuanzisha grup la wasapu kutokea hapa

    Grup litahusu mahusiano,mapenzi na urafiki kama tufanyavo humu ndani..but mashart na vigezo vitazingatiwa
  15. painedman

    JamiiForums Tanzania Naruhusiwa kuanzisha grup la wasapu kutokea hapa

    kuanzia
Back
Top Bottom