Hotuba za Rais Magufuli za kichwani zinakera, asome hotuba anayoandaliwa

wee mpuuzi hujui unachokitetea siku yakikukuta utaelewa nini maudhui ya hii topic
Kiongozi usitumie NGUVU kubwa kuitetea topic yako. Umeiweka jamvini acha ijadilie Na kila MTU anavyoona vyema kuchangia. Sasa wewe naona unataka watu wote wawe upande wako. Usifanye hivyo na hakuna sababu yakutoa maneno makali kama mpuuzi nakadhalika. Acha mada ijadiliwe.

Hayo ni maoni yangu, natumai umenielewa Kiongoz.
 
Nafasi ya urais ni Tasisi sio one man show.ukisikiliza hotuba za JPM hazionyeshi kama anasoma alichokiandaa/kuandaliwa.anatililika alivyovikusanya na kuviweka moyoni.kila kukicha anaacha maswali kuliko majibu kutokana na speech zake!
Sijawahi ona Rais wa hivi hapa nchini.labda nchi zingine.Rais anakazi za kuli shape taifa kwa kauli zake.sasa anapotawaliwa na mihemuko na kutoa point kichwani nahisi tutaingia Chaka/potezwa huko mbele.hatujui kipi tukiweke kwenye library kama kumbukumbu yenye mashiko.Time will tell.

Nilikuwa naangalia kipindi cha Mada Moto katika luninga ya Channel Ten cha Albert Kilala akiwa na mgeni wake katibu mkuu wa CHADEMA Dr Vicent Mashinji

Katibu Mkuu alikuwa akifafanua maana na malengo ya mkakati wao wa kisiasa ambao umejipatia umaarufu ndani ya siku mbili tu tangu kutangazwa kwake alimaarufu kama Umoja wa Kupambana na Udikiteta Tanzania (UKUTA)

Ni bonge la "move" ambalo limewatisha watawala na kuhisi labda wanaelekea kwenda kunyang'anywa nafasi zao za utawala....hofu hofu hofu tupu!!

Katikati ya mazungumzo ya Dr Mashinji na msimamizi wa kipindi, akaweka video clip ikimwonesha Rais John Pombe Magufuli naye akionekana kutishwa na UKUTA na yamemtoka maneno ya mihemko na hasira za ajabu huku busara nadhani akiwa sijui kaiacha wapi tu!!

Ni kweli kabisa huyu mzee wetu aache hasira ambazo hazina maana yoyote. Hataweza kuongoza nchi kwa mihemko na kufoka foka tu hata pale ambapo hastahili kufoka wala kuwa na hasira!!
 
Kiongozi usitumie NGUVU kubwa kuitetea topic yako. Umeiweka jamvini acha ijadilie Na kila MTU anavyoona vyema kuchangia. Sasa wewe naona unataka watu wote wawe upande wako. Usifanye hivyo na hakuna sababu yakutoa maneno makali kama mpuuzi nakadhalika. Acha mada ijadiliwe.

Hayo ni maoni yangu, natumai umenielewa Kiongoz.
maoni ya kipuuzi yana mahala pake.kama kuna watu mia wamechangia hawajaambia wametoa hoja za kipuuzi.jiulize wewe uliyetoa mchango wa kipuuzi.sio kila mada uchangie kama huna hoja zenye kwendana na maudhui ya mada.
 
Nilikuwa naangalia kipindi cha Mada Moto katika luninga ya Channel Ten cha Albert Kilala akiwa na mgeni wake katibu mkuu wa CHADEMA Dr Vicent Mashinji

Katibu Mkuu alikuwa akifafanua maana na malengo ya mkakati wao wa kisiasa ambao umejipatia umaarufu ndani ya siku mbili tu tangu kutangazwa kwake alimaarufu kama Umoja wa Kupambana na Udikiteta Tanzania (UKUTA)

Ni bonge la "move" ambalo limewatisha watawala na kuhisi labda wanaelekea kwenda kunyang'anywa nafasi zao za utawala....hofu hofu hofu tupu!!

Katikati ya mazungumzo ya Dr Mashinji na msimamizi wa kipindi, akaweka video clip ikimwonesha Rais John Pombe Magufuli naye akionekana kutishwa na UKUTA na yamemtoka maneno ya mihemko na hasira za ajabu huku busara nadhani akiwa sijui kaiacha wapi tu!!

Ni kweli kabisa huyu mzee wetu aache hasira ambazo hazina maana yoyote. Hataweza kuongoza nchi kwa mihemko na kufoka foka tu hata pale ambapo hastahili kufoka wala kuwa na hasira!!
anatoa mipovu sehemu ambazo angeweza kushauriwa akae kimyaa asijibu kitu! anachemka kitu.
 
Watanzania tuna kosa gani kwako Muumba wetu?

Tulikuomba utupatie kiongozi bora zaidi ukatupatia hafifu zaidi. Tulikuomba utupatie kiongozi wa kutuongezea kipato halali, ukatupatia wa kutupunguzia mapato halali.

Tuliomba utupatie kiongozi wa kutuongezea mauzo ya nje ukatupatia wa kupunguza mauzo ya nje.

Tulikuomba utupatie kiongozi wa kutuongezea watalii ili nchi yetu ipate mapato ya utalii angalao ya kufikia yale ya Afrika Kusini , ukatupatia wa kupunguza mapato ya utalii. Tulikuomba tupate kiongozi wa kutuongezea ajira, ukatupatia wa kutupunguza ajira.

Tulikuomba kiongozi wa kutuongezea demokrasia ili nchi ifaidi uwingi wa mawazo kutoka kwa watu mbalimbali, ukatupatia asiyetaka kukosolewa.

Ni kwa nini hasa? Ina maana Mungu wetu kila tulilomwomba alituelewa kinyume chake? Au ndiyo ile hekima ya Mungu kuwa hata kabla ya kuomba alikwishajua mahitaji yetu? Au ni ile hekima ya Mungu kuwa hata katika ubaya yaweza kupatikana neema? Vyovyote vile iwavyo, Muumba wetu bado tunakuhitaji ili dhamira na miili yetu ipate nusuru itokayo katika ulinzi wako
 
MBONA WATU HAMUISHI KULAAMIKA KAMA WANAWAKE WALIOOLEWA MITALA' MKIONA TZ HAKUNA DEMOKRASIA NENDENI SUDANI YA KUSINI KWENYE DEMOKRASIA
 
"Kila mmoja afanye siasa kwenye eneo alilochaguliwa,Kingu mbunge wa ikungi magharibi afanye mikutano palepale kwake alipoahidi shughuli za maendeleo,Mbowe afanye siasa palepale hai alipochaguliwa na kuahidi kuwapa maendeleo,kila mmoja aliyechaguliwa afanye siasa eneo lake.Sitaki kuona mtu anatoka HAI anakwenda KAHAMA kufanya mikutano n.k Mbunge au Diwani wa HAI au Mbeya anamamlaka ya kuingia kwenye vikao vya maendeleo ndani ya majimbo yao,huwezi kuwa Mbunge wa Ubungo vikao vya maendeleo ukafanyie Tarime.

Mimi (Rais) pekee ndiye natakiwa kuzunguka nchi nzima kila jimbo kufikisha maendeleo niliyowaahidi watanzania wote.

Wanaotaka kuandamana au kufanya mikutano kiholela kwanini wanasubiri mwezi wa 9?Wafanye mikutano hata leo ili wajue mimi ni nani.Siwezi kugeuza hii nchi ya siasa,nataka nchi ya maendeleo tu.
Siasa zilishakwisha wakati wa KAMPENI,muda huu ni KAZI TU."

JPM
SINGIDA leo
29.07.2016

Aisee nimecheka sana kama kweli haya yamesemwa na Rais Magufuli!!

Yaani hata hajui kuwa Freeman Mbowe ni mwenyekiti wa Taifa wa chama cha siasa kama yeye!!

Daah, huyu jamaa kumbe si tu mweupe katika anga za kimataifa, bali hata mambo madogo madogo yanayomzunguka ndani ya nchi yake mwenyewe hayajui!!

Huyu bwana alipaswa kuachwa kuendelea kusimamia ujenzi wa barabara tu na labda kuhesabu samaki wa baharini....huko anaweza. Lakini kuongoza nchi is too much for him!!

Hakika tunapelekwa vichakani......

Kwa tamko kama hili ina maana hata Kinana (katibu mkuu wake wa chama) atakuwa amemfunga kufuli hakuna kutembea tena, eeeh si hana jimbo bhana, au vinginevyo atakuwa anazunguka jengo la Lumumba na Dodoma pekee kule makao makuu ya CCM!!!
 
Aisee nimecheka sana kama kweli haya yamesemwa na Rais Magufuli!!

Yaani hata hajui kuwa Freeman Mbowe ni mwenyekiti wa Taifa wa chama cha siasa kama yeye!!
Hahaha
Kwa tamko kama hili ina maana hata Kinana (katibu mkuu wake wa chama) atakuwa amemfunga kufuli hakuna kutembea tena, eeeh si hana jimbo bhana, au vinginevyo atakuwa anazunguka jengo la Lumumba na Dodoma pekee kule makao makuu ya CCM!!!
hahaha
 
Kajitangazia kupiga mnada majengo ya serikali baada ya zile nyumba za kuishi za serikali! Sasa sijui ni mwendawazimu gani anaweza piga mnada majengo Manhattan (Dar) kitovu cha biashara halafu akaenda kujenga Utah

(Dodoma)! Hizi akili zake huyu Mh. zitatu-cost!
Na ikulu ataipiga mnada nini? Mmh huyu mutu itatupeleka kubaya
 
Msaada jamani! Smartphone yangu haitaki kusave majina na kudownload app kupitia play store nini tatizo?
Kaitupe ununue nyingine
Kuna vipindi wanafiki wa kitanzania walikuwa wakimlaumu Rais Kikwete kuwa anadanganywa na watu wake anasoma tu alichoandikiwa bila kujua ukweli wa jambo analolizungumzia kwahiyo anapotoshwa na yeye anapotosha, kama kawaida yetu kutoka Rais dhaifu anayechekacheka hovyo, hayupo serious kabisa, tunataka Rais mwenye sauti na dikteta na anayechukua hatua on spot!
Mwambieni Rais kuwaongoza watanzania kunahitaji moyo wa subra, sisi raia tuna akili nyingi hata za kukwamisha maendeleo, asishangae kuwaona watanzania wakifurahia matatizo na kuchukia maendeleo, na kwa miaka yake mitano muambieni avumilie kwani anaongoza watu tofauti na dunia nyingine.
 
Back
Top Bottom