painedman
Member
- Oct 18, 2012
- 21
- 3
SERIKALI KIPITIA WIZARA YA ELIMU HAINA BUDI KUKAA NA KUTATHMIN HAYA MATOKEO KWA JICHO LA TATU. BINAFSI NINAYACHUKULIA MATOKEO MABAYA YA SHULE ZA SERIKALI NI UJUMBE KWA SERIKALI KUA WALIMU WANAHITAJI STAHIKI ZAO ZA MSINGI IKIWEMO KULIPWA MADENI SUGU KWANI MI NINAAMINI MWALIMU ALIYESOMEA NA MWENYE MOYO HASHINDWI KUMFANYA MWANAFUNZI AFAULU HATA KAMA KUNA CHANGAMOTO ZA MAZINGIRA NA VITENDEA KAZI