Recent content by Pain killer

  1. Pain killer

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Ooooh sis arsenal tukibeba ubingwa utaona ,dunia nzima itatetemeka .....tunamashabiki wengi sana ....kummmmmke siku ya pili sasa tumeshasahau hata yao hayajui yanafanya nini mamamaeeeeeee h
  2. Pain killer

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Hii time hata ikichukua epl huna cha kulingishia kwa timu kubwa kama man city ,man utd ,chelsea ,Liverpool, astonvilla .....sababu huna uefa, club world cup ,super cup ......very small team inayobweka tu 😄 🤣
  3. Pain killer

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Siku ya pili yamechukua ubingwa hakuna lolote lililotoke....hayajui hata kushangilia dadekiii.....timu ndogo ni timu ndogo tu
  4. Pain killer

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Huawezi kuaamini kudadeki hii timu imechukua ubingwa jana, hakuna mtu anayejali,....et yanasema ni timu kubwa.......watu wako busy na world cup cursed club ever hahaaaa
  5. Pain killer

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna faida gani kuzaa watoto hapa duniani? Mimi naona hakuna faida, ni kuletana kwenye shida na matatizo, pia kujiongezea majukumu tu

    Raha ya kuzaa watoto ni pale tu utakapokuwa na uwezo wa kuwahudumia ila kama ni masikini choka mbaya hata ukizaa utakufa mpweke tu, watoto watakuona kama jinga....huna cha kuwarithisha....wataenda hata kwa mganga kukuroga sababu umewaleta duniani kuteseka..., hata nyumbani watapakimbia kwenda...
  6. Pain killer

    JamiiForums Tanzania Wale mliofanikisha interview ya kwanza mkatoboa written na oral na placement karibuni hapa

    Mfumo wa maswali unajikita kwenye nini hasa .. Module za chuo tulizosoma kutokana na kozi ?
  7. Pain killer

    JamiiForums Tanzania The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Waoooo .,. 80m ya kununua new midifilder hio ...
  8. Pain killer

    JamiiForums Tanzania The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Atlético agree on fee with City for Álvarez and send contract proposal! 🔴⚪️🕸️ Manchester City have informed Atléti that they accept €75m fixed fee plus €20m bid for Julián, up to €𝟗𝟓𝐦. Julián to be authorized for medical tests as soon as Atlético Madrid will reach agreement on his...
  9. Pain killer

    JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

    Wanaofanya application wanaelewa Hilo tatizo mkuu , sijajua Kwa waliokwisha kutana na hio changamoto huko mbele walifanyaje
  10. Pain killer

    JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

    Wakuu hili swala limekaaje na itakuaje huko mbele ... Unakuta chuo nimesoma "bachelor of science with education " ndio degree yangu masomo yalikuwa chemistry na biology lakin ajira portal nikijaza hio kozi mfumo unakataa kabisa ....ila nikijaza hii bachelor of education (chemistry and biology)...
  11. Pain killer

    JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

    Tayari nishatuma maombi ,natafuna popcorn hapa na juisi ya tende kusubili pdf ya kupangiwa Kazi🔥🔥😂 Mama Samia oyeeeee
  12. Pain killer

    JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

    Wakuu Kwa wazoefu WA kuomba Kazi ajira portal ,.... Kipi Bora katika barua ya maombi ,kutumia kiswahili au kiingereza ....? Tulikuwa tushazoe mfumo wetu WA oteas uliokuwa unatuambia kabisa tuandike barua Kwa mkono Tena ya kiswahili ...
  13. Pain killer

    JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

    Mitihani yao inakauje mkuu ,kama mwalimu WA hesabu wanauliza maswali ya kawaida(kisiasa ,kiuchumi na kijamii) au Wana base kwenye somo kabisa topic zilizomo kwenye somo ...mfano mathematics unaweza kutana na maswali ya integration,set , differentiation, , logarithmic,quadratic...
  14. Pain killer

    JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

    Sio kwamba kuandika barua hawawezi ,Ni maumivu ya kisaikolojia ya kuhusu labda unakosea barua baada ya kutuma maombi ya Kazi Zaidi ya Mara 100 Bila kupata ...sasa Ile hofu na kujiamin kunapotea unaanza kuwa unauliza hadi vitu vidogo ambavyo wengine wanakuona kama mjinga .... Hii Hali kama...
  15. Pain killer

    JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

    Wakuu hivi kuedit inakubali , application failed Ni nyingi na nimegundua Ni kozi niliyoweka ndio tatizo ....
Back
Top Bottom