Recent content by Pai

  1. P

    Maoni na Mtazamo wa Mwanasheria Alberto Msando kuhusiana na UKUTA

    SASA KAMA NAWEWE MPINZANI UNAMLAUMU NANI HAPA?? KWANINI WEWE USITOKE HADHARANI KUPIGANIA HIYO KATIBA MPYA??
  2. P

    Tundu Lissu: Maswali yangu kwa Jaji Mtungi, wa vyama vya siasa

    Sidhani kama una akili. Jaribu kujikita kwenye mada hiyo mipasho yako DADA peleka kwenye taarab.
  3. P

    Tundu Lissu: UKUTA umedhihirisha CCM sio chama cha siasa

    Katiba na sheria ya vyama vya siasa hairuhusu chama cha kikabila na ukanda. Kama kipo Serikali yenu inasubiria nini kukifuta ?? Ndio maana kipaumbele chetu cha kwanza kwenye ilani yetu ( CDM) ni Elimu, mnajichanganya sana na CCM inatumia ujinga wenu kutawala.
  4. P

    Tundu Lissu: UKUTA umedhihirisha CCM sio chama cha siasa

    Nje ya mada kabisa. Kama dola mnayo kwanini msiwakamate hao mafisadi na kuwapeleka mahakamani. Kila siku mnalialia humu JF kuna mafisadi. Kama sio dhaifu ni nini????
  5. P

    Edo Kumwembe: Mpaka sasa CHADEMA wameshashinda hata wasipoandamana

    Kwa maelezo yako hapo juu inamaana hata wewe maandamano yanakuhusu kwavile Katiba yetu imesiginwa. Ondoa neno jifunzeni, weka tujifunze.
  6. P

    Msigwa: Wabunge na mawaziri wa CCM wanaujua ukweli ila wanaogopa kusema

    SASA NDO UMEANDIKA NINI. SI BORA UNGEKAA KIMYA UKASOMA MAONI YA WENGINE ILI UELIMIKE.
  7. P

    Naomba vyombo vya Dola kuwa makini na usanii mpya wa kuchangia Lowassa

    sasa nyie si ndo mna serikali kwanini hamjampeleka mahakamani???? Mnalalamika kwa nani??
  8. P

    Waliolinda na kutetea 'majizi' ya Escrow wanapata wapi uhalali wa kumnyooshea kidole Lowasa?

    acha uongo el ameondolewa wapi??? Kama uanachama wa ccm kajivua mwenyewe. Kama ni fisadi nyie ndio wenye serikali kwanini hamjamkamata na kumpeleka mahakamani??? Jeshi, polisi, mahakama vyote mnavyo mnaishia kulalamika tuu!!!!!!
  9. P

    Mada moto Channel 10: Edward Lowassa ndani ya UKAWA. Polepole amfananisha na malaya...

    Hp: Vp kuhusu uuzwaji kiholela wa nyumba za serikali na ununuaji wa kivuko ambacho hakifanyikazi. Majibu tafadhali.
  10. P

    Hotuba za mgombea wa CCM zawekwa katika tovuti wa Ikulu, huu ni uungwana?

    naona unajitoa ufahamu kub (kambi ya upinzani bungeni) sio serikali. Kazi yake ni upinzani na siasa. Mikutano ya siasa ndo upinzani wenyewe na wanapewa ruzuku kwa kazi ya siasa.
  11. P

    Mkanganyiko kuhusu kashfa ya Richmond

    huyo lowassa nae amelipwa 230
Back
Top Bottom