Recent content by Pagan Amum

 1. P

  TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

  Sijui kipindi cha Kalemani hizi maitanance hazikuwepo?.... sijui Dr. Kalemani alikuwa anatumia ujuzi gani kuhakikisha umeme haukatiki mara kwa mara. But, matatizo makubwa Mimi kwa upande wangu ni mawili. 1. Ujuaji wa waziri aliyepo sasa 2. Huwezi kuingia kwenye shirika afu unafumua management...
 2. P

  Makandarasi wazawa ni majanga kwenye miradi ya ujenzi

  Issue inakuwaga Fedha.
 3. P

  Tatizo la LUKU limerudi tena

  Ni siku ya pili sasa kuna tatizo kubwa ya Luku. either kwa kununua kwa njia ya mitandao ama kwa wakala wao. Waziri mpya tulijua umeingia kuongeza kasi kumbe mambo ni yale yale...
 4. P

  Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

  Rais Samia Suluhu alianza vizuri katika siku zake 100. Baada ya kuanza kukandamiza haki za binadamu, kukubali kudanganywa na wakina Siro kuhusu kesi ya ugaidi wa Mbowe, kuanza kusema uongo, kuanza kuvimba kichwa, hapo ndipo alipoanza kujiharibia sifa zake kama kiongozi wa nchi. Kwa lililotokea...
 5. P

  Rais Samia Suluhu ateua Wabunge wapya watatu na kuteua Baraza la Mawaziri

  Nakubaliana na wewe aisee... Nina mradi wangu toka may mpaka leo sijalipwa. Kipindi cha Shujaa wa Africa nilikuwa nalipwa kila mwezi.
 6. P

  Baada ya uteuzi wa Stagomena Tax, ni wazi Prof. Kitila Mkumbo anaenda na Maji

  Wizara ya Viwanda na Biashara apart from Dr. Abdalla Kigoda, Na Dr. Chami ni wazi haijapata mtu sahihi. Hasa awamu ya tano na sita. Kwa awamu ya tano, Mh. Mwijage zile kelele zake za kuanziasha viwanda alionekana bora. ila baada ya hapo wizara haijapata mtu sahihi na makini kabisa. Prof...
 7. P

  Kwa utendaji huu ukimlinganisha na Hayati Magufuli, ni busara Rais Samia asigombee 2025

  Labda wengine mnajua, ila binafsi tunashindwa kuelewa nchi inaelekea wapi. To be honest, licha ya mapungufu yake kama Rais JPM nchi ilikuwa na direction. JPM alifanikiwa kuweka direction ya nchi ikiwa ni pamoja na mkazo katika sector kadhaa ambazo alizisimamia ipasavyo. Ila sasa sijui nchi...
 8. P

  Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

  Popote ulipo Hayati Rais Magufuli, tusamehe... uliwahi kusema tutakukumbuka tukajua ni utani. Ila leo ni dhahiri tutakukumbuka. Baba toka umetuacha mpaka sasa watoa huduma wala wakandarasi wale wakubwa na wadogo. wa nje ama wa ndani hawajalipwa.. Baba ulikuwa unapata wapi fedha za kuendesha...
 9. P

  Uteuzi wa Wakurugenzi unafanyika lini? Mambo mengi yamesimama Wilayani

  Ni muda sasa mkeka wa Ma-DED unasubiriwa ili mambo yaende huku Wilayani na kwenye Halmashauri. Kila kitu almost kimesimama. Wengi wao hawana uhakika, hivyo hawashindi vituoni bali wanaenda Dodoma kila mara. Nilikuja kufatilia mambo fulani katika moja ya Wilaya "Mkoa kanda ya ziwa" ni wiki ya 3...
 10. P

  Building Contractors & General Cleanliness

  6 hamuwezi kujenga hayo majengo uliotuwekea. Kwa maana ya CRB hawawezi kuwarusu!....
 11. P

  #COVID19 DC Jokate punguza kuji-brand. Kwanini TMK Marathon na COVID hii?

  Hata Mimi huwa nashangaa sana sama... sifa anaweza za bure kabisa
 12. P

  Wanaotajwa kurithi mikoba ya Katibu Mkuu UVCCM Taifa Raymond Mangwala

  WANAOTAJWA KURITHI MIKOBA YA Katibu Mkuu UVCCM TAIFA (SG) Raymond Mangwala Baada ya uteuzi wa viongozi wakuu wa UVCCM - Taifa kupewa UDC. Chombo hicho kimebaki bila uongozi wa juu. Ukiachilia suala la Mwenyekiti wake Kheri James ambaye alichaguliwa kwa kura kupitia Mkutano mkuu, UVCCM kwa sasa...
 13. P

  #COVID19 Polepole ataka kiwanda cha dawa za mimea kupambana na Corona, aomba kikafichwe Jeshini

  Ebu achenu u.ji.nga PolepOle yupi?... huyu huyu Pole Pole wa ovyo, ndio mnataka aingie kwenye Baraza?... Yeye na Bashiru wale ela tu za bure hii miaka 5. Ndio mwisho wao wa kisiasa. We will Never see or hear them after 2025... Nasikia anataka jimbo la Segerea. Haibu ambayo atapata itakuwa ya...
 14. P

  #COVID19 Polepole ataka kiwanda cha dawa za mimea kupambana na Corona, aomba kikafichwe Jeshini

  Huyu naye atulie. Kaharibu chama chetu na Dr. Bashiru saizi anaongea nini.... Mama alipaswa Huyu na Bashiri ni wakufukuzwa kabisa kwenye Chama
 15. P

  Major General Mbuge Kuwa RC kutoka Mkuu wa JKT Kapanda Cheo au kashuka?

  Sasa Brigedia na Major General nani Mkubw? Inshort katika teuzi zote huyu ndio kapata pigo kubwa. kashuka vibaya mno
Top Bottom