Shamba Lina ukubwa wa heka 60 lipo msata umbali kilometers 3 kutoka balabala ya lami msata bagamoyo
Lina nyumba ya tofali vyumba 2 bei 350,000 wa Kila heka
Kwa mawasiliano 0659891515
Kuna tukio la tozo na lawama kwa rais wa jamuhuri ya Tanzania Samia Suluhu. Kiukweli asiraumiwe mama kuhusu tozo tunachotoa cha kwetu kwa ajiri ya maendeleo yetu.
Kama hakitufai basi tutumie njia zilizo sahihi kukipinga hasa tusivunje katiba tuliyonayo. Na makosa ya singida tusimjumurishie...
Sijatekwa Ila ukiona mtu anaunga mkono juhudi
Au kusifia Kama member flani humu juwa keshaingia kwenye mtego wa mfumo
Sent from my itel P32 using JamiiForums mobile app
Amani ya bwana iwe nanyi kila unalolifanya fanya kama unafanya biashara na mwenyezi mungu
Usifanye ili watu waone
Tuenderee kwenye mada maisha magumu yanatusababisha tuwe bize kufikia hatua ya kuwa wa vivu wa kusoma nk...
Waliniingiza kwenye mfumo ili wayajue mazaifu yangu nami kweli nimekuwa...
Aman ya bwana iwe nanyi
Hali ya uchumi ngumu tujitahidi kupunguza matumizi yasio ya lazima
Membe nakukubari nafikia hatua ya kuwaza uhame chama ingawa umefutwa uwanachama bado na amini wewe una mapenzi na chama gani
Sio mbaya ukatafuta chama chochote nikupe Kura yangu
Unanikosha na misimamo...
Alichotenda msigwa huo ndio ubinadam
Unapokosea kuomba msamaha
Kuhusu kuhama chama sijui
Ila naona Kama maandalizi flan ivi ya kumpokea mzee wa Zimbabwe
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.