Kwanini leseni za udereva hazina "smart chip" wala "password"? Police akiwa anatoa "fine ticket" dereva afanye "fingerprint confirmation"?

Nitaanza chini kwenda huu, NSSF wamechacha wako hoi kifedha wanaishi kwa kuokoteza michango ya walio kazini ili wawalipe wastaafu, ndiyo sababu walibadilisha tarehe ya kulipa wastaafu toka tarehe 24 ya mwezi kuwa baada ya 28 wakishapata za walio kazini; Ninakushauri wasamehe kwa sasa kwani walikopwa sana na kulipwa ni majaliwa.
SOLUTION TWO, naona hauna hiyo solution badala yake umeweka swali!
Wakati walipoanzisha leseni hizo na mbwembwe zake zote kuwa zitatunza taarifa za muhusika, cha kushangaza nilipoipata nikashindwa kuelewa tekinolojia inayotumika kuhifadhi taarifa jambo ambalo halipo na haliwezekani kwa kuwa haina chip. Inawezekana wahusika wa mwanzo walipiga mzigo kama wa vitambulisho vya taifa.
Vitambulisho vya taifa ni highly advanced mkuu, usividharau! Vina machine yake maalumu inayoweza kusoma
 
Hakuna dereva anaepigwa cheti akawa anatabasam
Hivyo sizani Kama kutakuwa na ushirikiano kwenye password
 
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa Jamiiforums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.

QUESTIONS ONE: VP KAMA MTU ANAYEFANANA NA MIMI (LET'S SAY PACHA AU IDD AMINI ANAVYOFANANA NA YULE JAMAA WA KENYA) AKACHUKUA LESENI YANGU KISHA KUTENDEA KOSA???

QUESTION TWO: KAMA MTU ANA BIFU NA ASKARI WA USALAMA BARABARANI NA ANAJUA NUMBER YA LESENI YAKO ANAWEZA KUKUBAMBIKIZIA KOSA? POLISI KAMA JESHI WANAFANYA NINI KUDHIBITI "RISK" YA NAMNA HII???

SOLUTION ONE: Kwanini traffic akiwa kwenye mchakato wa kutoa ticket ya fine kwenye ile mashine yake kusiwe na namna ambayo dereva anaweza kuweka fingerprint yake kisha system za TRA zika confirm kuwa dereva ndio mmiliki wa leseni.

SOLUTION TWO: Kwanini driving license zisiwe na chip pamoja na password kama ya ATM card kiasi kwamba traffic akiingiza license number kutaka kutoa ticket ya fine ni lazima dereva aingize password yake.

OUR MOTTO: KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE.

VODACOM WAMECHUKUA WAZO LANGU
We jamaa natamani siku moja nikuone. Huwa una mada fikirishi sana.
 
Hivi kama umepoteza leseni yako na kukamilisha taratibu za loss report, ukifika TRA gharama na mchakato mzima unakuaje?
 
Back
Top Bottom