Ni kweli hautakiwi kumuuliza mpenzi wako maswali mengi, tena mimi naamini uongo umesaidia sana kujenga na kuimarisha mapenzi na na mahusiano, kwa maana ya kwamba unampata mpenzi kwakumficha baadhi ya siri zako nyingi, anakubali, pengine ungemwambia ukweli usingempata na kama ni mume/mke wako...
Embu niambieni ukweli wadau hivi ukiwa unachati na mpenzi wako tena kwa muda mrefu, yaani mpaka maneno ya maana yanawaishia, hivi mkiendelea kuchati unafikiri hamtuanza kuulizana maswali ya kijinga? kwanza mimi napenda kuwaambia kwamba mapenzi yenyewe ni ujinga, nakufanya mapenzi ni ujinga au...
Secretaries especially ladies they are so aggressive to the job applicants as if they are a bosses, i don't know why they do that, sometimes i miss the answer, any one who might know the reason will you please make us know, because this problem becomes serious, who do they think they are, i...
Wadau aisee acha tu kwakweli magumu niliyo yapitia wakati wakuomba kazi ni mengi na bado naendelea kusonga mbele kwani bado cjapata kazi, changamoto kubwa ni kwamba kila kazi inayotangazwa hasa kwenye makampuni binafsi wanataka mtu mwenye uzoefu usiopungua mwaka mmoja na kuendelea sasa hivi kwa...
Nashukuru kwa ufafanuzi wako mzuri wenye kujenga, na kuelimisha maana kweli wengi wetu tunatafuta kazi na pengine tunakosa kazi kwasababu hatutoi taarifa zetu za kutosha ama tunaomba kazi kwakuorodhesha changamoto za maisha zinazotukabili.
Hakika soko la ajira nchini inachangamoto kubwa sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.