Recent content by padlock

  1. padlock

    Nilichongundua watu ambao hawajasoma darasa la saba hawana umuhimu katika jamii

    Elimu haina uhusiano na umuhimu wa Mwanadamu ktk Jamii kuna walioelimika lakini bado ni Wajinga ktk kufanya maamuzi. Elimu ni Utambulisho wa nini ulisoma au kutumia muda wako kusomea nini na kukielewa.
  2. padlock

    Mchumba hasomeshwi, muhanga SutiBega

    Asiumie sana, amesaidia kumtoa mtu ktk mnyororo wa Umaskini, He's glonal citizen ktk kuhakikisha UN-SDGs zinakuwa easily archieved. Atafute mwingine ASOMESHE tena😎😎
  3. padlock

    Mwanamke hana mchango wowote kwenye mahusiano

    Tukisema Tunaondoa Uke wa mwanamke, Je tunakubali na Kusadiki kile tunachosema hana mchango wowote ndani ya Mahusiano?? Tuondoe Ile Manhood kwa Mwanaume Je mwanaume atakuwa na cha Offer ktk jamii and Incoming Generation??
  4. padlock

    Baba bado anaendelea kuchukuliwa poa kwenye jamii

    Baba Hana thamani hadi Afariki, ni kama Tamaduni Baba kutokupewa uzito Utatafuta ela watoto watakula na kushiba kisha watasema "Nani kama Mama"😎😎
  5. padlock

    Mkurugenzi wa LATRA anapata wapi nguvu ya kupingana na Rais? Serikali inakataza kufunga biashara, yeye anafungia mabasi 35 yasitoe huduma

    Hakuna sababu ya Kumuonea mtu, huyo K'njaro hata baadhi ya wenzake wanamkataa kwa tabia zake, ukiwa mpumbavu ukafanya upumbavu itabidi ulipie upambavu wako Usihusishe Upumbavu wako na Huruma za watu Kwanza mabasi yao chakavu, customer care zero, Matusi na Dharau nyingi kwa Watoa huduma zao...
  6. padlock

    Demokrasia hufanya Kazi pale Serikali inapokuwa na Sera zinazotekeleza Mahitaji ya Raia wake

    Mfumo wowote unaoshindwa kusaidia Raia wake haufai kwa Jamii husika, Dmeokrasia inayopigiwa kelele na mataifa ya magharibi kwa nchi zinginr ndio chanzo hasa za mivutano, Migogoro na kelele nyingi.
  7. padlock

    Pendekezo: Majina ya viongozi yaondolewe miradi ya umma

    Vitu vyepesi kama Hivi kujadili ni Matumizi mabaya Sana ya Akili, Iko wazi ktk worldwide politiks kuyapa majina ya viongozi miradi mbalimbali i.e Airport, Manowari za kivita, Kumbi za Umma, Kambi za Jeshi, Roads Na sio Big issue unless Ubongo wako uwe na Changamoto ktk kufikiri.
  8. padlock

    Je, ni halali kumpiga makofi mama mkwe anayekukera kila siku?

    Ni rahisi kupata baraka za wazazi na rahisi kupata mikosi kutoka kwa wazazi, mwanaume akishaoa na kujitegemea hapangiwi. Wazazi wako wakija kwako unapaswa uwaheshimu lakini nao wawe na adabu na nidhamj na mji wako kama ulivyokuwa unakaa kwao. Ushauri na mawazo yao yasikilize lakini kama ni ya...
  9. padlock

    Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

    Hakuna kisasi hapo, Mbona tendo Jema kabisa La Upendo.
  10. padlock

    Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

    Hapo hakuna kisasi kilicholipwa, Kama ingelikuwa Mhusika Kaamua kulipa kwa kuchepuka hicho ndicho Kisasi, Alilofanya Mhusika Ni Darasa Huru. Inabidi Amshkuru Sana Kwa kumnyoosha bara bara.
  11. padlock

    Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

    Mungu Wetu ni Mkubwa sana, He is Mysterious, Anavingi vya kufanya juu yetu, Kama Liko ndani ya Uwezo wako mlipe mdeni wako, Usisubiri Uvuviwe na Roho wa Bwana ndio Ufanye. Kilicho Ndani ya Uwezo usiwamchie Mungu. Njia zake sio Njia zako. Fanya yaliyo Ndani ya Njia zako, Yasiyo Ndani ya Njia...
  12. padlock

    Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

    Unpoachwa bila kufanyiwa hivi shukuru, Ila unapoachwa na kufanyiwa tukio kama hili Inabdi ushukuru zaidi kwa kuwa Mosi, Huo ndio mshahara wa Tabia zako Pili, Aliekufanyia hivi hakupendezwa na tabia zako licha ya kuku alert mapema juu ya mahusiano yenu, so ameamua kwenda hatua mbele zaidi...
  13. padlock

    Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

    Ni rahisi kuachana na Mtu lakini kama Ni mtu mpumbavu anaendeleza upumbavu wake. Kuachwa kwa staili hii Ni Darasa Huru kwake piah huko aendako. Nadhani wengine huja katika Maisha yako kama Funzo na Huondoka katika Maisha yako wakikuachia Funzo tosha. Huyu binti amefanikiwa kujifunza vema kupitia...
  14. padlock

    Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

    Kilicho Ndani ya Uwezo wako Usimwachie Mungu, Tekeleza kwa Akili zako zote, Nguvu zako zote.
  15. padlock

    Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

    Safi sana, Dance according to the tune.
Back
Top Bottom