Recent content by pacoma

  1. P

    Motivate plumbing book

    Mwenye kujua hicho kitabu kinapatikana wapi aniambie
  2. P

    Msaada: Kitabu cha Motivate plumbing

    Nahitaji kitabu hicho cha Bomba kinaitwa motivate plumbing. Mwenye kujua kinapatikana wapi?
  3. P

    CCM ijitoe kwenye Maridhiano kama matusi yataendelea kwa Rais Samia

    Koma hajasema watanzania wote vichaa,wanaopigia debe mkataba bila kujua kilichoandikwa kule,km na wewe ni mmojawapo basi ni kichaa
  4. P

    Ni uwendawazimu na ukichaa kuyaamini maneno yanayotoka katika mdomo wa Tundu Lissu

    Kichaa hwa hajitambui,wewe ndio kichaa,watanzania wanajua nn kinaendelea, Wacha mvua inyeshe tujue panakovuja
  5. P

    Orodha ya Vigogo Wazalendo watakaohutubia Mkutano wa hadhara Temeke

    Naimani wanaweza kuzuiliwa na police Kwa 7bu yoyote ile ,Ili tu usifanyike,Tuombe uzima
  6. P

    Baada ya kumaliza ndugu wanaompinga, alijimaliza mwenyewe

    Kwani ni nani huyu anaeongelewa hapa
  7. P

    Mamlaka ya Hali ya Hewa itujuze mvua za masika zitaanza lini

    Tunaomba mtupe utabiri wa mvua mwaka huu mikoa ya Kilimanjaro, Arusha, Manyara, Tanga, Mbona mko kimya tu. Tunataka kuandaa mashamba
  8. P

    Mamlaka ya Hali ya Hewa itujuze mvua za masika zitaanza lini

    Tunaomba mamlaka ya Hali ya hewa (TMA) ituambieni mvua za masika zitaanza lini, tuandae mashamba. Mnachelewa kusema baadae mnashtukiza, Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha, Tanga, Manyara.
  9. P

    CHADEMA huwatetea wananchi kwenye mambo gani?

    Tohara Kwa kina Mama
  10. P

    Tulia Ackson alipokuwa anazunguka na majeneza ili kuizika CHADEMA Mbeya, hawa viongozi wa dini ya Kikristo walikuwa wapi?

    Acha ujinga, we unaona alochokifamya ni sahihi, kwann achezee Iman za Watu. Tena wakristo wastaarabu angekumbana na waislam angechezea kichapa palepale, angejua hajui
  11. P

    Motisha kwa askari, iachwe iwe hela kama ilivyo sasa

    Askari wengi ninavyoongea nao,hasa wadogo, hawataki motisha ya bia, vitu, kwani wanaofaidi ni baadhi ya watu wachache tu, heri ilivyobadilishwa kuwa hela(package) kila mtu anafaidi, Package moja wanaweza kununua bando la bati, au kulipa ada, Hizo bia sio wote wanakunywa, Huyo mbunge ametumwa...
  12. P

    Waziri Lukuvi rejea maagizo yako ulioyaaacha Kivule

    Dah, methali zingine zilishapitwa na wakati
  13. P

    Waziri Lukuvi rejea maagizo yako ulioyaaacha Kivule

    Kwa heshima kubwa napenda pole kwa kazi, sina mengi kwako ila nakukumbusha kidogo, ulivyo kuja Kivule Hapa DSM, Ili kujua zoezi la urasimishaji ardhi linaendeleaje, ulikuta baadhi ya wananchi wametozwa hela zaidi(mara mbili zaidi) kinyume na maagizo ya serikali. Ulitoa tamko kali, kuwa wale...
Back
Top Bottom