Motisha kwa askari, iachwe iwe hela kama ilivyo sasa

pacoma

JF-Expert Member
Apr 6, 2014
650
414
Askari wengi ninavyoongea nao,hasa wadogo, hawataki motisha ya bia, vitu, kwani wanaofaidi ni baadhi ya watu wachache tu, heri ilivyobadilishwa kuwa hela(package) kila mtu anafaidi, Package moja wanaweza kununua bando la bati, au kulipa ada,

Hizo bia sio wote wanakunywa, Huyo mbunge ametumwa na watu kwa maslahi yao, Askari wanasema hawajamtuma, Wanaiomba serikali isibadilishe utaratibu huu aliouacha Mh. Rais wa awamu ya tano Hayati John Pombe Mgufuli
 
Motisha ? Au ni some sort of Hongo kwa washika mitutu ?, Waalimu Madaktari, Manesi na wachuuzi wanapewa motisha ?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom