Upo sahihi kufutwa inawezekana ila tatizo ni effects zitakazotokea baada ya maamuzi ya kufutwa.
Kwa mfano Kanisa likatangaza vita na serekali mwanajeshi/polisi mkatoliki atasimama upande gani?
Pressure ya kimataifa itakuwaje? Huyo Rais atadumu hata wiki?
Kila mtu anamuona aliyeshinda hana akili, hajafanya jitihada za kutosha kufuatilia 27m yake
Nasema sawa, subiría ushinde wewe utamuelewa...Kampuni zote zinakula na Game Boarding kukuzulumu wewe unayebet. Utazungushwa hutoamini.
Subiría ushinde utaona.
Umeongea sahihi sana kwenye betting kuna utapeli mkubwa sana, ni vile watu wengi hawashindi wanaona kawaida tu.
Mimi nilishawahi kushinda 17m wakafungia Account yangu, hao Gaming board ni takataka tu hawana msaada wowote
Hata mimi sielewi, nilitegemea UHAINI hapo kuna wanajeshi kadhaa wameshtakiwa, Silaha zimekamatwa na mambo ya dizaini hiyo. Kuna njama zinathibitishwa zilipangwa.
Sasa wanabishana tu mara video mara maneno, sijui utazuia uchaguzi. Sasa kuna serekali inapinduliwa kwa sentensi mbili duniani...
Inaonekana Magufuli hakuna ofisi zao za kuhifadhi mizigo. Na Chalamila hataki kuona gari Urafiki. So itabidi mizigo ifaulishwe kwenye malori ifike kwenye ofisi zao.
Kiufupi atakayeumia ni sisi wananchi, wenye mabasi wataongeza bei tu kucover cost zao.
Zama za kulala stand usichelewe zinarudi...
Plan A ilikuwa kumzungusha na hii kesi akubaliane na masharti yao ya kumuachia.
Mwamba kagoma yupo tayari kukaa hata ikibidi anyongwe.
Tuone plan B itakuwa ipi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.