Recent content by pablo hernadz

  1. P

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kupeleka Muziki Redioni

    Habari zenu wanajamii forums hivi kupeleka Muziki redion ili ipigwe na pesa au inakuaje
  2. P

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Dar tukatwe 2,000/= kila mwezi kwenye line!

    Buku 2 kisa nini that is nonsense tunajua viongozi wetu wote auto theft.ni sawasawa unaruka mkojo unakanyaga mavi.REMEMBERING OF MWL JK NYERERE ERA I HOPE ONE TUTAPATA MFANO WAKA GOOD LEARDERSHIP
  3. P

    JamiiForums Tanzania Wanajamii ushauri

    Mambo VP wanajamii naomba kuuliza eti kupeleka nyimbo redion na pesa au bure naombeni maoni yenu nipate fahamu
  4. P

    JamiiForums Tanzania Ninakipaji cha Kufanya Muziki Naomba ushauri wenu

    Wamekubali kaka
  5. P

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Michezo ya Video (Video Games): Jifunze Uendeshaji, Changamoto na Faida Zake

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 18 nilikuwa naomba ushauri na maelekezo kwenu wadau nilikuwa nataka kufungua PlayStation center game ya watu wenye rika yote watoto hata watu wazima mtu mwenye experience nayo haniambie je mtaji at least uwe bei gani na vifaa vya PlayStation 3 vinauzwaje na...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Ninakipaji cha Kufanya Muziki Naomba ushauri wenu

    I need more ushauri wenu and msaada wapendwa
  7. P

    JamiiForums Tanzania Ninakipaji cha Kufanya Muziki Naomba ushauri wenu

    Nilishamaliza skonga mwaka Jana nikapata division 3 but sikubalance combination
  8. P

    JamiiForums Tanzania Ninakipaji cha Kufanya Muziki Naomba ushauri wenu

    Accapella hiyo apo kwenye link
  9. P

    JamiiForums Tanzania Ninakipaji cha Kufanya Muziki Naomba ushauri wenu

    Shared via Easy Voice Recorder for Android. Download it here: http://goo.gl/94E4Om
  10. P

    JamiiForums Tanzania Ninakipaji cha Kufanya Muziki Naomba ushauri wenu

    Habari wapendwa wana jamii forum nilikuwa nataka msaada hata maoni. Mimi ni kijana Nina umri wa miaka 19 Nina kipaji cha kuimba muziki kama rnb and pop kwa hiyo nilikuwa nahitaji msaada na ushauri. Nitashukuru kama mkinipa maoni hata msaada peace and love.
  11. P

    JamiiForums Tanzania Nataka kuwa mwanamuziki

    Biashara kama kawaida biashara IPO pia nahitaji ushauri tunatafuta kotekote siunajua mtafutaji hachoki
  12. P

    JamiiForums Tanzania Nataka kuwa mwanamuziki

    Hamna change your thinking ninacho bab
  13. P

    JamiiForums Tanzania Nataka kuwa mwanamuziki

    Habari wapendwa wana jamii forum nilikuwa nataka msaada hata maoni.Mimi ni kijana Nina umri wa miaka 19 nahisi Nina kipaji cha kuimba muziki kama rnb and pop kwa hiyo nilikuwa nahitaji msaada na ushauri. Nitashukuru kama mkinipa maoni hata msaada peace and love
  14. P

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Michezo ya Video (Video Games): Jifunze Uendeshaji, Changamoto na Faida Zake

    Ouk I need more advices nashukuru jamani.
Back
Top Bottom