Nataka kuwa mwanamuziki

Nataka kuwa mwanamuziki

pablo hernadz

Member
Joined
Nov 21, 2014
Posts
22
Reaction score
0
Habari wapendwa wana jamii forum nilikuwa nataka msaada hata maoni.Mimi ni kijana Nina umri wa miaka 19 nahisi Nina kipaji cha kuimba muziki kama rnb and pop kwa hiyo nilikuwa nahitaji msaada na ushauri.
Nitashukuru kama mkinipa maoni hata msaada peace and love
 
Muimbe Daimond mashairi yawe makali lazima utoke maana ndio yupo hot mjini na vijijini
 
Jikubali halafu Jitume, kikubwa Usikate tamaa kaza kazana!
 
Habari wapendwa wana jamii forum nilikuwa nataka msaada hata maoni.Mimi ni kijana Nina umri wa miaka 19 nahisi Nina kipaji cha kuimba muziki kama rnb and pop kwa hiyo nilikuwa nahitaji msaada na ushauri.
Nitashukuru kama mkinipa maoni hata msaada peace and love

Yani inaonyesha hujiamini. Itakuwaje uhisi unakipaji? Inamaana huna uhakika na ukifanyacho
 
Habari wapendwa wana jamii forum nilikuwa nataka msaada hata maoni.Mimi ni kijana Nina umri wa miaka 19 nahisi Nina kipaji cha kuimba muziki kama rnb and pop kwa hiyo nilikuwa nahitaji msaada na ushauri.
Nitashukuru kama mkinipa maoni hata msaada peace and love

ile biashara yako vip? dogo acha kuhangaika kuwa na msimamo alafu inakuwaje umri wako ubadirike within 24 hours?
 
Biashara kama kawaida biashara IPO pia nahitaji ushauri tunatafuta kotekote siunajua mtafutaji hachoki
 
Back
Top Bottom