Recent content by p_ambitious

  1. p_ambitious

    Wanafunzi UDSM wafanya vurugu Mabibo Hostel kwa kucheleweshewa fedha za mkopo (Boom)

    nimesikia hivyo ata mimi,mwenye taarifa zaidi au aliyepo eneo la tukio mtujuze
  2. p_ambitious

    COINCIDENCE: Moja ya ushahidi wa uwepo wa Mungu

    mkuu eiyer nakubaliana na yote uliyoandika..kumbuka Mungu atupi tunachotaka bali utupa tunachostahili maana Mungu atujua zaidi tunavyojijua wenyewe!!
  3. p_ambitious

    Maoni na uchambuzi wa Prof. Kitila Mkumbo kuhusu Sera mpya ya Elimu nchini

    serikali imeona nini juu ya hili swala? na kuna mtazamo gani juu ya kizazi kijacho? wataalamu naomba mnijuze..
  4. p_ambitious

    Uhusiano wa nyota na binadamu

    Habari za sahizi wakuu wa JF? leo asubuhi katika kusoma kwangu biblia nikapata kujiuliza maswali kidogo juu ya mamajusi au magi kwa kiingereza baada ya wao kuona nyota na kugundua kuna mfalme ambaye ni yesu kuwa amezaliwa.. Swali ni kuna uhusiano gani hapo kati ya nyota na yesu? na je ni kweli...
  5. p_ambitious

    Statistics za social services zilizopo Kiwalani

    Za sahizi wakuu wa JF? Kwa anaejua idadi ya social services kama shule, makanisa, misikitina na idadi ya wanaume na wanawake waliopo Kiwalani, naomba atupie humu...
  6. p_ambitious

    Is God fair ?

    ata shetani pindi yupo mbinguni alitamani sana power na dominance aliyo nayo mkuu wake(Mungu) kama biblia na vitabu vingine vya dini vilivyoeleza na mwisho wake akatupwa duniani pamoja na wafuasi wake na ndo ulikuwa mwanzo wa haya yote..na ata pale Mungu akaujaza ulimwengu na 'human came to...
Back
Top Bottom