Recent content by P-Value

  1. P-Value

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Unatafuta gari zuri la kuagiza nje ya nchi? Pita hapa

    Bei?
  2. P-Value

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Unaweza kushare link hii na rafiki au ndugu yako ajiunge humu pia ili asipitwe na taarifa mbalimbali kutoka Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kuhusu masuala ya ajira. https://whatsapp.com/channel/0029VaGfzXiGufIxoSDiDL2S
  3. P-Value

    JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

    Kwa wanaoomba kazi kupitia mfumo wa ajiraportal, ili iwe na assurance ya kwanza ya kuwa shortlisted ukiachana na vigezo vingine, hakikisha umezingatia haya kwenye mfumo (akaunti yako) 1. Umeweka vyet vilivyopigwa mhuri kwa mwanasheria kwa maana ya vyeti vyote vya kitaaluma (4,6, chuo, transcript...
  4. P-Value

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

    Kwa walioomba ajira za afya kupitia mfumo wa utumishi wa umma AJIRA PORTAL, Leo ndo mwisho wa kuomba so Hakikisha unapitia account yako kuona kama kila ktu kimekaa Sawa kabla ya saa tano na dakika 59 usiku [emoji120]
  5. P-Value

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

    Msisahau kuzisign barua zenu wakubwa ni muhimu pia
  6. P-Value

    JamiiForums Tanzania Liquid fund na bond fund kwa mtaji wa 10M utt Amis faida yake ipoje

    Asante, huu wa liquid na bond upi wenye faida kubwa na bora kwa uwekezaji kwa mwezi/ mwaka au nusu mwaka kwa kiasi hicho
  7. P-Value

    JamiiForums Tanzania Liquid fund na bond fund kwa mtaji wa 10M utt Amis faida yake ipoje

    Shukurani ni mfuko upi bora wa uwekezaji huo wa 10M
  8. P-Value

    JamiiForums Tanzania Liquid fund na bond fund kwa mtaji wa 10M utt Amis faida yake ipoje

    Naomba kusaidiwa uelewa kwa uwekezaji wa 10M utt Amis faida yake na mfuo bora upi kwa mwezi, nusu mwaka au mwaka
  9. P-Value

    JamiiForums Tanzania Kwa Milioni 30, UTT amis na nyumba ya kupangisha kipi bora?

    Million 10, utt Amis faida yake ipoje kwa mwezi au mwaka na ni mfuko upi bora kuwekeza
  10. P-Value

    JamiiForums Tanzania Tuongee ukweli: Soko la pesa la Tanzania (UTT, Hisa N.k) haliwezi kukufanya ukawa tajiri kwa mtaji wako mdogo

    Kuwekeza kwaajili ya baadae ndio maana nauliza ni mfuko upi mzuri kwa kuanza na 10M, UTT
  11. P-Value

    JamiiForums Tanzania Tuongee ukweli: Soko la pesa la Tanzania (UTT, Hisa N.k) haliwezi kukufanya ukawa tajiri kwa mtaji wako mdogo

    Ni mfuko gani unaofaa UTT AMISS kwa mwekezaji anayeanza na 10M, kati ya bond fund na liquid fund ili angalau kukuza uwekezaji na kwa uwekezaji huo faida yake ipoje?
  12. P-Value

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  13. P-Value

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hongera sana madam ni kitambo sana but finally you made it. Ukawe mtumishi mwema
  14. P-Value

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    [emoji2][emoji2][emoji2][emoji1]
  15. P-Value

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hongera sana ukawe mtumishi mwema
Back
Top Bottom