nilikuwa ifunda 93-97, form three group 3 tulikuwa tunajiita free free boys kama sijasahau drs letu lilikuwa na msichana mmoja tu. nilikuwa mtaalamu wa kushinda lyande, msitu wa tembo na kukumbilia darini mwl anapokuja bwenini,balozi wa c6 mirambo.
nilikuwa naenda drsn kufanya mitihani tu, siku...
ni kweli kbs bwn abdala hamisi, wakatoliki wametuletea madhila sana, kila wanapoweka mkono hkn maendeleo
hospitali zao hazisaidii wananchi, hata shule zao za ovyo sana si kama za kwetu ndomana kaka yetu yusufu makamba na wengi waliosoma kwny shule zao elimu yao magumashi, bora kinondoni muslim...
wewe unapuuza wanachoamini wenzako, hapo hapo unaomba PO! eti sio vzr kupuuza wanachoamini wenzako! ungekuwa unaiamini kauli yako na sote tukawa na mtazamo huo, kuna uwezekano mkubwa dunia ingekuwa na amani sana
Ukisoma vizuri between lines utagundua jeshi lilichukua jukumu kutokana na kuvuja kwa taarifa za siri ingawa haijaelezwa kiundani, kuna maelezo yanaonyesha wale mapapa wa ujangili walipewa taarifa mapema tangu maandalizi. Ukiwa makini utagundua jeshi lilicontrol ili watendaji wengine wasipate...
Kweli kutoka moyoni, hoja ya kutotaka mchaga katika uongozi wowote arusha ina uhusiano na mgawanyo sawa wa raslimali za taifa, mimi simo kwenye makabila yote uliyoyataja lakini naona jinsi gani unavyotaka kupotosha hoja badala ya kupinga kwa nguvu zote watu wanaotaka kutumia hoja ya ukabila...
Jamani ndugu zangu wana JF wengine tumelitumia jukwaa hili kujifunza na mtu kama mimi huwa napost mara chache sana na sijawah kuanzisha thread na hii yote ni kwasababu naona bado najifunza na sipendi kuharibu heshima ya jukwaa kwa kuandika porojo, naomba nitoe changamoto kdg kwny hii thread...
Mimi imeniacha hoi sentensi ya kwnz inayosema timu ya global publishers inayofanya kazi KISAYANSI.. Mmh hbr zingine tunaambiwa za udaku lkn hili la kumsafisha kapuya limekuwa la kisayansi.. Hii mambo ifike mahakamani ndo tutajua pumba na mchele na haki itapatikana aidha kwa kapuya ama kwa huyo...
Ni kweli mkuu umeongea jambo jema sana hasa kwa kuangalia upande wa family, iwe ni kweli au si kweli familia inabaki na kovu kubwa.
Mbaya zaidi le mutuz amekiri kwmb mheshimiwa alikuwa na uhusiano wa kimapenzi wa hiari na huyo binti huku akisema si mtoto mdg kama anavyodai na hakubakwa, kwa...
Nimefuatilia kwa makini hii saga, mimi binafsi bado sijathibitisha kwmba mh Kapuya amebaka lkn maelezo yake na yako pia yananisogeza karibu kbs na kuamini mheshimiwa amefanya mapenzi na mtoto mdg ambapo ni sawa na ubakaji, lbd nikueleze kusema binti huyo ana mtoto haijustfy kwmb ni mtu mzima...
Hiyo akili ndo iliamua kushusha viwango vya ufaulu Tz maana iligundua nchi nyingine za Africa ht Ulaya mitihani yao soft ndomana passmark zipo juu.. fikiria zaidi
Kama maji yalikuwepo kabla Mnyika hajawa mmbunge hana budi kuondolewa hata kwa kura ya kutokuwa na imani nae, kama kulikuwa hakuna maji kwa miaka mingi mliyotawaliwa na CCM lbd mkiwarudisha watajirekebisha, lkn kama walau kwa miaka 3 kuna jambo la maana amalifanya jimboni hata kama hakufanikiwa...
si lazima uje Dar unaweza kujisajili mahali popote ulipo online ila utahitajika utume particulars within a week plus ada, kwa maelezo zaidi google British Council Tanzania tafuta link ya IELTS
labda kwa msaada tu ada ya mtihani ni 350000, vingine ambavyo ni optional.. materials 50000, mafunzo...
kuna shule zinazomilikiwa na CCM chini ya jumuiya ya wazazi hizi ni moja ya shule mbovu zaidi ya hayo unayoyaeleza, kama kiongozi wa juu kbs wa CCM sijui umefanya nn nyumbani kwenu kbl ya kuleta mjadala hapa eti tuwaulize, mumuulize nani wkt miaka 50 mnatawala hii nchi mmechukua hatua gani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.