Naomba niulize kitu Mimi Niko taasisi ya elimu ya juu hapa dar es salaam na Nina mwaka JE kama nataka kuhama kwenda sehemu kama. Tbs au tmda JE naweza kuruhusiwa au ndo ntaambiwa hadi miaka mitatu
Mimi nilikuwa pale mtibwa sugar kuhusu Msimu wa uzalishaji kuanza huwa unaanza mwezi wa tano baada ya mvua za masika kuisha na kuhusu Kazi za shamba ambazo Unaweza kupata hata sasa hivi ukienda Ni ya kukata miwa sasa hivi huwa wanalipa around kama 10,000 Kwa siku ila uwe ngangari kidogo màana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.