Recent content by P-35

  1. P-35

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Yooooh hold on,mbona sikusomi ?but sy lazm nikuelew,so kichwa cha chini kikiamka ni kwamba hatujielewi ety?
  2. P-35

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Trust me ningekuwa insider ningempiga kibao cha mdomo ,mpuuzi kwel🙄🤐
  3. P-35

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Nilichogudua ni kwamba husomi story yote ukaelewa,unasoma tuu sehemu ya maokoto that means huna hela ukiskia million unapatwa na kichaa,kwahy umeshindwa ata kukumbuka episode ya mwisho hapa irny anamtambulisha insider kama manager wake,kwahy kuwa manager hiyo siyo shughuli yakueleweka?
  4. P-35

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Utajua hujui ishu ni kwamba haun maokoto pesa hauna kaka😂😂😂😂
  5. P-35

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Saw Hahaha sawa mwalimu mzinifu 😂😂
  6. P-35

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Cha ajabu zaid anakwambia acha aburudike that means anaenjoy😂😂
  7. P-35

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Kaka samahan,me sina experience yyt na biashara ya uber,may be ukute sijawah panda kbc uber kutokana na mazingira yng,iko hv kuanzia uzi umeanza mpk ss umesifia sana ist yk kwa usafi na kila kitu,vp hapo city center magar makal ya uber uliyowah kuyaona ni kama yapi?
  8. P-35

    Malengo 2024:mradi wa ufugaji nguruwe na mbuzi wa nyama

    Habari wapambanaji? Mimi ni kijana mpambanaji,katika kilimo cha mahindi na alizeti,ila mwakan nataka nijikite zaid kwenye ufugaji wa nguruwe na mbuzi wa nyama,nimewajia hapa ili kupata experience pia ushauri,nina ekari mbili nataka 1½ nilime mahindi,alizeti na maboga at least gharama za ulishaji...
  9. P-35

    Kutoka kwenye Utajiri mpaka kuishi kwenye lindi la umasikini!

    Kuna kaujambazi na kauwizi kdg ndani yangu naona sasa nimepata role model wangu🤭😄😄
  10. P-35

    Preview ya Black Panther Wakanda Forever 2022

    Hapo sijakupata mkuu yoruba na xhosa ni lugha wanayoongea watu kutoka Rwanda????
  11. P-35

    Naomba msaada na ushauri wenu ndugu zangu

    an gapitau tonye nasa😂😂
  12. P-35

    Simulizi: Harakati za Jason Sizya

    Polee master story
Back
Top Bottom