Recent content by ozunuh

  1. ozunuh

    JamiiForums Tanzania Ni utapeli au ni kweli?

    Hebu tembelea link hiyo chini kupata maelekezo ya hiyo website: TheMonthlyJob.com Earn 10$ for every 30 second Task. Internet Job
  2. ozunuh

    JamiiForums Tanzania Tv gani itaonyesha mech yanga vs al ahly.

    Hata Phillips pia inaonesha mkuu!!
  3. ozunuh

    JamiiForums Tanzania Naona aibu kusema nina masters ya Mzumbe

    Utaratibu huo wa kutaka elimu kirahisi kwa kuhonga upo vyuo vingi si Mzumbe peke yake, na ulifanya hivyo coz we ni kopo walio wengi wanagraduate kwa akili zao wenyewe! So pole kwa kugharamikia kuanzia ada hadi hizo za kuhongea!
  4. ozunuh

    JamiiForums Tanzania HESLB achen WIZI ndo tuseme BIL 306 ZIMEISHA?

    Weziii
  5. ozunuh

    JamiiForums Tanzania Hii ndo top ten ya vyuo vya kata bongo,vijue kabisa usije ukadanganyika kuvichagua kwa wadogo zangi

    Watu hupenda kuleta mada za kipuuzi ili ajisifie kuwa na yeye ameweka mada na ikachangiwa na wengi cha msingi ni kumuona pimbi tu!!
  6. ozunuh

    JamiiForums Tanzania Vyuo 17 bora Tanzania, Je chuo chako kipo?

    Rank ya chuo chako haimaanishi ndio utapata kazi haraka, uzuri wa chuo ni pale unapokuwa umemaliza na ukapata kazi so haijalishi umesoma wapi. Hizo ranks ni mbwembwe tuuu
  7. ozunuh

    JamiiForums Tanzania Wale wa Mzumbe Joining Instructions ipo hewani.

    Ingia katika website ya chuo utaiona.
  8. ozunuh

    JamiiForums Tanzania Wale wa Mzumbe (BS. ICTM).

    Bado hawajatoa ila nafikiri soon itakuwa ndani ya web yao
  9. ozunuh

    JamiiForums Tanzania Wale wa Mzumbe (BS. ICTM).

    Pamoja sana Double Jay
  10. ozunuh

    JamiiForums Tanzania Wale wa Mzumbe (BS. ICTM).

    Tukutane hapa kwa wale wote tuliochaguliwa mzumbe (bs. Ictm) tujadiliane mambo mbalimbali!!!
  11. ozunuh

    JamiiForums Tanzania wenzangu wa mzumbe university joining instruction form tunapatia wapi?

    Vipi kuhusu staggered semister?? Maana sielewi kuhusu hiki!!
  12. ozunuh

    JamiiForums Tanzania Karibuni wa Mzumbe University

    Thanx braaa
  13. ozunuh

    JamiiForums Tanzania Karibuni wa Mzumbe University

    Tupo pamoja wakuu
Back
Top Bottom