Recent content by Oxlade-Chamberlain

 1. Oxlade-Chamberlain

  Watambue Wachezaji wa Taifa Stars waliowazawadia Magoli mazuri Matatu Congo DR leo pale kwa Mkapa Temeke Dar es Salaam Tanzania

  Kweli kabisa. Hakuwa na sababu ya kulazimisha pasi ndefu wakati kuna mchezaji mwingine alikuwepo karibu ambae angeweza kupeleka mpira kwa Kapombe.
 2. Oxlade-Chamberlain

  Tanzania 0-3 DR Congo | 2022 FIFA WC Qualifiers | Benjamin Mkapa Stadium

  Free agent, hana timu kwa sasa.
 3. Oxlade-Chamberlain

  Tanzania 0-3 DR Congo | 2022 FIFA WC Qualifiers | Benjamin Mkapa Stadium

  Bangi mbaya , tunacheza tu kama tupo mchangani
 4. Oxlade-Chamberlain

  Tanzania 0-3 DR Congo | 2022 FIFA WC Qualifiers | Benjamin Mkapa Stadium

  Wachezaji wapo wapo tu,sijui bangi au waoga.
 5. Oxlade-Chamberlain

  Tanzania 0-3 DR Congo | 2022 FIFA WC Qualifiers | Benjamin Mkapa Stadium

  Kazi sana kumfundisha mpira mtu mzima
 6. Oxlade-Chamberlain

  Msemaji wa Serikali umedanganya; tuzo ya Nobel haijaenda kwa Raia wa Tanzania

  Uraia pacha hawataki lakini wakisikia tu Mtu kang’ara nje ya nchi mwenye asili ya Kitanzania wanaanza ku-show off.
 7. Oxlade-Chamberlain

  Tanzania vs Benin, African Qualifiers - FIFA World Cup Qatar 2022

  Nafasi nyingine ya wazi tumepoteza
 8. Oxlade-Chamberlain

  Tanzania vs Benin, African Qualifiers - FIFA World Cup Qatar 2022

  Tumepoteza nafasi nzuri tu hile lakini hawa jamaa wanafungika. Na timing ya wachezaji wetu mbele mbovu, hawazingatii offside position. Tutashinda hii game
 9. Oxlade-Chamberlain

  Mnawezaje kwenda zaidi ya dk 60 bila kuachia bao la kwanza?

  Huwa wanawaza shida zao zote, madeni na misiba yote ya watu wao wa karibu, inachelewesha bao kama hutaki ku-enjoy show. Kwahio na wewe akili yako usiweke kwenye tendo waza misiba na shida zako zingine utapiga tu dakika 60. Kila la kheri.
 10. Oxlade-Chamberlain

  Msaada: Napata woga na hofu wakati wa kufanya mapenzi hadi mashine inalala

  Tafuta mechi za mchangani ujenge uzoefu alafu ndio ukapige mechi za ligi na timu unayoipenda/tamani.
 11. Oxlade-Chamberlain

  FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

  Kwanini sio Barca mkuu? Ndio matokeo ya kununua vikombe sasa hela imeisha unataka wafanyaje?
 12. Oxlade-Chamberlain

  FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

  Washabiki wa Barca hayo ndio maisha yenu mapya mjipange kupokea vipigo. Arsenal huku sie tumezoea.
 13. Oxlade-Chamberlain

  #COVID19 Marekani: Maelfu walaumu chanjo ya COVID-19 kwa kupoteza uwezo wa kusikia baada ya kuchanjwa

  Naona hizi Yanga Day na Simba day zinawachanganya mpaka mnasikia filimbi na kengele mnasingizia chanjo. Wadanganyeni hao hao ambao hawajachanjwa.
Top Bottom