Ili kuendelea jamaii inahitaji watu walio imara,bora,wenye nguvu katika kuendeleza jamii,lakini katika nchi za Afrika kumekwepo watu imara,bora na wenye uwezo walioshindwa kuendeleza jamii zao kutokana na udhaifu wa kitaasisi na mifumo katika nchi husika.Je,Ni Taasisi na mifumo bora na imara...
Kilio cha wanamtwara ni kulilia nchi yao,ni uwakilishi wa hisia za watanzania,ni ujumbe mzito usiostahili kupuuzwa,kuzimwa kwa risasi au hotuba za vitisho kutoka kwa watawala,hekima na busara ya hali ya juu inahitajika katika kutatua changamoto bila kuwapuuza wananchi kwa sababu maeneo yote...
Wana JF
Naomba kutoa ushauri wangu kwa viongozi wa CHADEMA,Wanachama na Wapenda mabadiliko wanaoamini katika Tanzania mpya zaidi ya hapa tulipo kuhusu msimamo wa viongozi wa CHADEMA ya kutaka kujitoa katika mchakato mzima wa maandalizi ya katiba mpya.
NAOMBA KUWAAMBIA KUWA WASIJITOE KWA SABABU...
Kwa muda mrefu kati ya watu ambao wamekuwa na rekodi ya kulilia nchi au kupigania Tanzania ni Jaji Joseph Sinde Warioba na Prof.Mwesiga Baregu hawa watu wamekuwa katika utumishi wa umma kwa muda mrefu katika uwanja tofauti lakini wote wamekuwa wakitafsiriwa kama wapigania nchi na kupewa jina la...
Ni busara kukitathmini na kukubali kuwa kuna watu wanaweza kuchangia maendeleo ya sehemu husika kwa kuanzia ulipoachia,Mola akutangulie katika hatua zinazofuata
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.