Recent content by ovi

  1. ovi

    Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

    Ww ndio inawezekana umeingoza halafu...huko kwenye groups Watu Wana 50 's ,40 kama zote[emoji3]
  2. ovi

    Mchakato wa kuwalipa wenye vyeti feki wakwama

    Mlolongo ulikuepo..walifanya uhakikia wa vyeti kwa mud mrefu tu,wakawabaini ,tar 1/5/2017 kupitia hotuba ya mheshimiwa rais wakaamriwa kuacha kaz mara moja kwa ridhaa yao wenyew...au unazungumzia mlolongo upi
  3. ovi

    Mchakato wa kuwalipa wenye vyeti feki wakwama

    Kwa kwawaida kama unadai mafao ukikamilisha kujaza fomu unasubiri takriban mwez 1 hadi miwili ndio ulipwe...wao wamejaza fomu kuanzia Nov 1 sasa hawa watalipwa kuanzia january ...kwenye kudai mafao haujaz fomu leo ukalipwa kesho lazma usubiri wahakiki kwanza ndio ulipwe
  4. ovi

    Serikali: Wahanga vyeti feki kulipwa mafao yao

    Kabudi alikua kwenye list ya vyeti feki kama prof UDSM ,lakn mbona alipopewa uwaziri hamkusema kama Rais aliyekuepo amehalalisha wizi???
  5. ovi

    Serikali: Wahanga vyeti feki kulipwa mafao yao

    Yule prof wa UdSM alikutw na vyeti feki na bado aliyekua rais alimteua waziri wa sheria..kwahyo ukiwa na vyeti feki hutakiwi kulipwa wala kua mtumisha wa umma ila ni ruksa kua waziri au mbunge si ndio...mbona hamkulalamika alivyopewa uwaziri wa sheria yule prof??? Waachen jaman walipwe hizo 5%...
  6. ovi

    Tetesi: Watanzania waliojiunga na kampuni ya BESTIBEI wametapeliwa

    Yan Tanzania risk takers ni wengi sana[emoji23]kila siku wanatapeliwa madai yao wamebeba hii principal ya biashara.."the higher the risk the higher the profit"[emoji23][emoji23]..wanaamin kuna siku watapata faida kubwa sana
  7. ovi

    Natubu: Nilikuwa simuelewi Mwamposa, ila kwa idadi ya viwete walioponyeshwa Songea naanza kumuamini

    Kwa mganga mnatoa sadaka adi hela ya mwisho ya akiba ila hamlalamiki[emoji23]kwahyo ni halali mganga kudai sadaka ila mtumishi wa Mungu hatakiwi kudai sadaka[emoji23][emoji23]...mganga akisema lete damu lita 100,mtu unatengeneza ajali kuzoa damu umpelekee mganga..ila kumtolea Mungu umekuj...
  8. ovi

    Natubu: Nilikuwa simuelewi Mwamposa, ila kwa idadi ya viwete walioponyeshwa Songea naanza kumuamini

    Ili upone lazima uamini,hao wa kkoo wanaamini kuwa watapona kwa jina la Yesu?..nikushaur kakusanye hao wa kkoo wafundishe kuamin halafu wapeleke kwenye maombez nao watapona..usijichoshe kumkebehi mtu ambaye Mungu anamtumia kama chombo kuponya watu.
  9. ovi

    Natubu: Nilikuwa simuelewi Mwamposa, ila kwa idadi ya viwete walioponyeshwa Songea naanza kumuamini

    Bas mwamposa atakua na hela sana,maana kila siku watu wanashuhudia wamepona ..kumbe huwa anawalipa halafu hamsemi jamani...nyie watu ni wasiri sana
  10. ovi

    Cyprian Musiba atolewa nje ya ukumbi wa Bunge kwa kujifanya mwandishi kumbe siyo mwandishi wa habari

    Hahaha mtanzania akiskia mwizii anapiga tu haangalii sura[emoji23] [emoji23] [emoji23] wangemuua aisee
  11. ovi

    TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

    Ye mwenyew alikua mtumiaji..na mahakama ilithibitisha akalipa fain
  12. ovi

    TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

    Mi mwenyew nawachukia wauza unga..mxiuuu.vijana wanateketea kwa madawa wao wanatajirika..wafe wote tu
  13. ovi

    TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

    Nayo ndio madhara ya kuuza unga..ila apumzike kwa amani yeye pamoja na Wateja wake wa unga aliowatanguliza
  14. ovi

    Gari zinauzwa

    Imeuzwa
Back
Top Bottom