Sijajua amefikiriaje mwenzetu lakini angepiga hesabu za kina, Je SAULI zilikuwa gari za aina gani zimetumika mda gani na Je yeye ndo alikuwa wa kwanza kuzitumia ? Kuchakaa ni inevitable atafute namna nyingine ya kuliweka hili.
Hii ni kweli kabisa ukiwa tayari upo kwenye biashara fulani huwa si ngumu kabisa kupata idea nyingine ya biashara, kimbembe uwe nje ya game aiseh hata calculation za uthubutu hazikujii.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.