Recent content by Ova

  1. Ova

    Hivi hawa Airtel, huu uhuni wananifanyia mimi tu au ni kila mtu?

    Nikituma pesa kutoka airtel kwenda mitandao mingine mfano elfu 20- hadi 30 makato yake ni mia 600 Na kuanzia laki 1 hadi laki 2 makato yake ni 1600 haya ni makato mapya sidhani kama umeibiwa
  2. Ova

    Picha: Nini kinamtesa Paul Makonda?

    Mbona kama sio yeye
  3. Ova

    Mume mwema

    Mimi ni Mkristo mcha Mungu mlutheri miaka 30 nipo Dar es salaam. nafanya kazi katika kampuni binafsi. Nahitaji mume Mkristo mcha Mungu mwenye mapenzi ya dhati. Awe hajawahi kupata mtoto kwani na mimi sina mtoto. Miaka 30 na kuendelea Awe anaishi Dar es salaaam.
  4. Ova

    Usajili wa line za simu(Wakala)

    Malipo ni kwa kamisheni
  5. Ova

    Usajili wa line za simu(Wakala)

    Dharau haisaidii chochote
  6. Ova

    Usajili wa line za simu(Wakala)

    Umeelewa kichwa cha habari au nimeandika natafuta watu wasio na akili timamu
  7. Ova

    Usajili wa line za simu(Wakala)

    Wanahitajika vijana wawili(2) kujaza nafasi zilizo wazi. Aina ya kazi:Usajili wa line za simu za Airtel. Eneo la kazi:Temeke Vigezo: -Uwe mkazi wa Temeke au maeneo jirani. -Uwe na smartphone --Umri:18-30 mwenye akili timamu Ofisi zipo Tandika Temeke,kwa maelekezo zaidi piga simu 0688 838566
  8. Ova

    Nikiingia you tube sioni comments za video

    Sawa Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
  9. Ova

    Nikiingia you tube sioni comments za video

    Sawa Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Ova

    Nikiingia you tube sioni comments za video

    Nimeshuka chini sijaona kama nilivyozoea katika simu nyingine Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Ova

    Nikiingia you tube sioni comments za video

    You tube go Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Ova

    Nikiingia you tube sioni comments za video

    Habari za leo,Nina shida kwenye simu yangu naomba wataalamu wanisaidie,nimenunua simu mpya Tecno Spark 2,Kama kawaida yangu napenda nikiangalia video you tube nisome na comments hapo hapo ila yangu haionyeshi shida ni nini wataalamu naomba msaada wenu Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Ova

    Najitolea kwenda kuichukua ile pikipiki iliyopo vetenary

    Pikipiki ipo mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Ova

    Nimekunywa maji ya Kampuni ya Afya, nadhani sio halisi wahusika fuatilieni

    Sawa Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Ova

    Nimekunywa maji ya Kampuni ya Afya, nadhani sio halisi wahusika fuatilieni

    Kuna chupa aina mbili ngumu na laini Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom