Bodaboda mpya BM 125 HD utaipata kwa 3,150,000 mpaka 3,320,000 kwa G7 traders Ltd. Hiyo ndo pikipiki nzuri kwa biashara kwa maoni na experience yangu. Muhimu kuzingatia malipo ya LATRA ya mwaka 17,000, GPRS 200,000/=
Zifuatazo ni Bei za container houses (pasipo usafirishaji kutoka China mpaka site ya mteja)
-Bei zote zimegawanyika katika madaraja matatu yaani Basic, Standard na Premium kulingana na ubora wa bidhaa na baadhi ya reinforcements/ members
1. Detachable container houses
Basic price: $1460...
Wakuu naendelea kupokea message mbali mbali za wateja kuhusiana na uagizaji wa hizi Prefab containers kutoka China. Hizi hapa ni link za whatsapp Business ambapo utakuta Catalog yenye bei za kila container package kasoro gharama za usafirishaji na ufungaji ifikapo site.
Karibuni whatsapp 👇🏿...
Nashukuru kwa muongozo mkuu.
Tunapatikana instagram kupitia link hii hapa 👇🏿
https://www.instagram.com/ndewero_investments?igsh=OHl1MGlpY3Z6Y3di&utm_source=qr
Sawa mkuu nmekuelewa.
Kwanza kabisa namba ya simu nliyoweka ni whatsapp business ambayo link yake ni hii apa wakuu 👇🏿
Message ndeweroinvestments on WhatsApp. ndeweroinvestments
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.