Msaada kwenye tuta, najaribu kudowload mode kwa bit torment naambiwa hadi nlipie dola kadhaa ....nifanyeje ili nipàte map na engine zenye HP 1000 nlilonalo kwasasa no HP 700 mwisho
Nami msaada katika hili,nmedownload bit torrent kwenye PC yangu inagoma kudown load kitu chochote znakuja option za nchi za ulaya na marekani nawanataka nilipie.....lakin kunawengine nackia wanaweza tumia free ......msaada nifanyeje nami nitumie free
Ndomana watanzania hatufanikiwi sababu yakuona jambo /tatizo Fulani linamhusu yule na simimi hata kama unaona wewe unanjia mbadala......Mh.Tundulisu minona angefunguka /taja live .sababu hili tatizotukiwaachia watu fulani hatutofanikiwa kumbuka tunaoathirika nisisi wapiga kura wenu mnaotutegemea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.