Recent content by otoni ndanzi

  1. otoni ndanzi

    vyakula vya mifugo

    Naombeni aina ya vyakula vya mifugo na bei zake kwa eneo ulilopo pia ushauri wenu juu ya biashara ya kuuza vyakula vya Kuku Sent using Jamii Forums mobile app
  2. otoni ndanzi

    Biashara ya vyakula vya mifugo

    Nataka kuanzisha biashara ya kuuza vyakukula vya mifugo naomba mnitumie aina ya vyakula mnavyovifahamu na bei zake. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. otoni ndanzi

    Kazi ya ualimu primary

    Ndio, nipo vizuri kwa English.lakini pia Nina certificate ya teaching HIV/AIDS,life skills,guidance & cunceli,emergency care,environmental issues and home based care Kwahiyo kama nafasi ipo nipo vizuri
  4. otoni ndanzi

    Kazi ya ualimu primary

    Yap naweza na ndo napenda xana
  5. otoni ndanzi

    Natafuta kazi

    Natafuta kazi ya ualimu wa shule ya msingi,nimetahiniwa kufundisha masomo yote primary pia Nina certificate ya kufundisha masuala ya HIV/AIDS,kutoa ushauri nasaha(guidance&counseling)kwa watu wa lika zote,elimu ya mazingira(environmental issues),huduma ya kwanza(first aid),life skills na namna...
  6. otoni ndanzi

    Kazi ya ualimu primary

    Natafuta kazi ya ualimu shule ya msingi,nimetahiniwa kufundisha masomo yote ya primary
  7. otoni ndanzi

    Baadhi ya wasanii wa Bongo Movie Waandamana kutoka ofisi ya Mkuu wa Mkoa Dar Makonda

    Haaaahaaaaaa eti movie ya kibongo jini anaangali kushoto na kulia ndo avuke barabara si bora niangalie katuni
Back
Top Bottom