Natafuta kazi

otoni ndanzi

Member
Apr 16, 2017
7
4
Natafuta kazi ya ualimu wa shule ya msingi,nimetahiniwa kufundisha masomo yote primary pia Nina certificate ya kufundisha masuala ya HIV/AIDS,kutoa ushauri nasaha(guidance&counseling)kwa watu wa lika zote,elimu ya mazingira(environmental issues),huduma ya kwanza(first aid),life skills na namna ya kuhudumia wagonjwa nyumbani(home based care)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom