Recent content by othumani kaka

  1. othumani kaka

    Zifahamu faida kuu 17 za majani ya mpera kiafya

    Shukrani sana Sent using Jamii Forums mobile app
  2. othumani kaka

    Maumivu baada ya placenta kujifungua

    Mwaka huu 2020 mwaka noma sana. Nendeni hospitali akapate maelezo ya daktari na tiba zaidi Sent using Jamii Forums mobile app
  3. othumani kaka

    Kuna shida kiunoni mgongoni maumivu makali sana

    Hapo unajiumiza mwenye. Kama kuacha mazoezi inabidi uache kidogo kidogo (yani kama ulikuwa unakimbia kilomita 20 upunguze kilomita uwe unakimbia ata kilomita 15) na sio uache moja kwa Moja kwa kukurupuka Sent using Jamii Forums mobile app
  4. othumani kaka

    Mwanaume wajue maadui 20 wa uume wako

    Acha kutazama picha zinazokufanya upige bao la mkono. Alafu zingatia mlo ulio kamili na maji mengi Sent using Jamii Forums mobile app
  5. othumani kaka

    The first HIV patient has been cured in England

    biashara za kufanikiwa. jifanye dokta mwenye dawa za magonjwa yaliyo shindikana. Mbona utapata ela mana wajinga atuishi Sent using Jamii Forums mobile app
  6. othumani kaka

    Kwanini baadhi ya Wanaume hawapati HIV?

    Acha utani. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. othumani kaka

    Mwanaume wajue maadui 20 wa uume wako

    Duuh!! [emoji33][emoji33][emoji33] Sent using Jamii Forums mobile app
  8. othumani kaka

    Mdomo wangu wa chini unabadilika rangi na kuwa mwekundu

    Zingatia kunywa maji kwa wingi, mboga mboga za majani na matunda Sent using Jamii Forums mobile app
  9. othumani kaka

    Tatizo la Kukosa Hedhi (Amenorrhea)

    Shukrani sana. Mana hapo faida kwa wote Sent using Jamii Forums mobile app
  10. othumani kaka

    Tatizo la kuwashwa mwili mara kwa mara- Fahamu chanzo, pata ushauri na tiba ya tatizo hili

    Pole sana. Ajaribu Kutumia sabuni ya dettol pamoja na mafuta yake. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. othumani kaka

    Naomba kujuzwa sababu za alama za mstari kwenye kucha

    Nimepima mwezi wa tatu hiyo kitu. Majibu Nimeambiwa "negative" Sent using Jamii Forums mobile app
  12. othumani kaka

    Naomba kujuzwa sababu za alama za mstari kwenye kucha

    Habari wadau wote humu ndani. Swali langu ivi alama ya mistari kwenye kucha kama hivo kwenye picha huwa shida ni nini au inatokana na nini. Naomba kujua Sent using Jamii Forums mobile app
  13. othumani kaka

    Msaada wa kuanza kufanya biashara

    Ninao Sent using Jamii Forums mobile app
  14. othumani kaka

    Msaada wa kuanza kufanya biashara

    Habari wadau wote humu ndani. Naombeni msaada wa kimawazo. Ni mbinu zipi nitumie kufikia malengo ya kufungua biashara yangu mwenyewe (kujiajiri) Sent using Jamii Forums mobile app
  15. othumani kaka

    Nahitaji ushauri wenu wadau

    Nailifanya mapenzi na msichana mmoja ambae kwa hapa mtaani kwetu inasemekana ameathirika. Na kibaya zaidi huyo msichana atumii dozi(ARV). Na katika kufanya nae mapenzi sikutumia kinga. Yapata miezi mitatu toka nifanye nae mapenzi naona dalili ambazo ni tata kwangu.1:kuvimba kwa vitu kama vipele...
Back
Top Bottom