Mdomo wangu wa chini unabadilika rangi na kuwa mwekundu

Akilitime

JF-Expert Member
Dec 27, 2017
581
757
Wasalaam wakuu!

Naomba msaada juu ya tatizo linalonikabili yapata muda sasa. Ni kwamba mdomo wangu wa chini unabadili rangi yake ya asili na kuwa mwekundu.

Nilitembelea hospitali Dar es salaam nikaambiwa ni upungufu wa madini, nilipewa dawa NAT B lakini hazikusaidia

- sivuti sigara
- sinywi Gongo
- sina ukimwi
- n.k

Naomba msaada ni dawa ipi naweza kutumia ili mdomo usizidi kuwa mwekundu. (Red lip)

Asanteni na karibu kwa msaada wakuu
 
lip inakua kavu au?
Haziumi?
Hauzichezei mfano kuzibana kwa meno?
Ni muda wote?
Hautumii ma lipsticks? hizi au aina ya dawa ya meno yaweza kua alleg.
 
lip inakua kavu au?
Haziumi?
Hauzichezei mfano kuzibana kwa meno?
Ni mda wote?
Hautumii ma lipsticks? hizi au aina ya dawa ya meno yaweza kua alleg.

Situmii lipsticks
Siziumi
Zipo vile muda wrote
Hazikauki
Natumia whitedent mkuu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom