Recent content by otega zulu

  1. O

    TRA ni kiboko sasa

    Mtoa habari wakati mwingine uwe unafikiria kabla hujaleta Uzi. Hivi wapi Tanzania hii wakuache ulale eti siku ya kuondoka ndiyo ulipe? Tusidanganyane kama wazee wa kodi wamekudaka basi tulia dawa ikuingie.Bora Hata ungedanganya wachache bado. Nielekeze ni hoteli IPI nashida na roomvkwa short...
  2. O

    Hali mbaya Bandarini/TRA, watu washindwa kukomboa mizigo yao!

    Nimepitia hoja nyingi humu naona kuna watu wengine wanatupia lawama TRA, wapo wengine wanaoona mzunguko wa hela mdogo, wapo wanaoona kodi zimebadilika nk. Swali je ni kweli kontena 600 zote zina aina moja ya kodi mpaka MTU ashindwe lipia? Je kodi zinapanda kama nauli ya gari au mpaka sheria...
  3. O

    TRA wanakomoa wananchi, hii sio haki

    Du ndugu ungekaa chini kwanza uandike vizuri.TRA sijawahi sikia ati sheria zao zinakutaka upakize ng'ombe kwenye Lori. Halafu kama unatunza kumbukumbu zako za biashara kwa nn ufunge duka? Mbona mm nipo Tunduma ndiyo kwanza napiga biashara yangu sababu sioni kwa nn niwaogopevTRA hali ya kuwa...
  4. O

    Rais Magufuli, hawa watu wako TRA wanachokifanya utachukiwa milele

    Da mtoa mada naona unajaribu kupotosha maana mm nafanya biashara na sijawahi sikia kiwango hicho cha kodi. Nimepitia tena tovuti ya TRA sijaona viwango hivo.Kiwango cha kwanza in 150,000 tena kwa wale mauzo ghafi yakifikia 4,000,000 mpaka 7,500,000 kwa mwaka mzima yaani unaigawa Mara nne na...
  5. O

    Baada ya kuambiwa nilipe kwanza kodi ndio nianze biashara sasa nimeamua kuwa mkwepa kodi.

    Mtoa mada mbona mm ninetoka fungus biashara na nimeambiwa baada ya siku 90 nilipe robo ya makadirio.sema tu wewe umejipanga kwepa kulipa, kwani nijuavyo hiyo 150,000 unatakiwa ulipe robo take siku 90 baada ya kuanza biashara.nimewauliza hao hao TRA wanasimu yao ya bure 0800780078 hebu wacheki...
  6. O

    CCM, TRA inawahujumu na itawaangusha

    Mleta mada nakushauri unapoketa issue tujadili weka na nyama, ungeweka document na ni bidhaa gani kwa kiwango gani.tusipost vitu kimajungu unadai unataka kuacha kazi umo TRA acha kazi basi .Inawezekana dili lako hilo limebumbuka.
  7. O

    TRA nimewavulia kanzu kama sio kofia kwa kukusanya kodi

    Unajua kuna mambo mengi isije kuwa wakala kakulamba cha huu.najua hawa watoza kodi wataona au kuambiwa hii taarifa hebu wawekee na ushahidi Wa ile namba wakala wako aliyotumia kupitishia nyaraka zako wanaita sijui tansad. Nadhani itakuwa ile kodi ya uchakavu ndugu yangu imekukamata kwani huwa...
  8. O

    Kutana na mzalendo anayekwamishwa na TRA na Wizara ya viwanda na Biashara

    Hebu elezea vizuri stika hupewa mtu au anatakiwa alipie? Sasa kama anavibali iweje tena useme tena wizara imemkwamisha? Naona unajichanganya .
  9. O

    Kama una king'amuzi cha antenna na unalipia ili upate local channel juwa unaibiwa

    Kiukweli ni kero unakuta kama azam walianza vizuri kuona tayari wameshapata wateja nao wamekuwa hawaeleweki.Mara 9000 ikaenda 13000 sasa 15000 hivi mama muuza vitumbua au mchicha atamudu, mbaya zaidi clouds plus nayo mpaka ulipie extra 3000 .local Chanel hakuna za free at all ni ulaghai tu.simu...
  10. O

    Gazeti la Daily Mail yauita Uwanja wa Taifa Dsm kama "Nairobi City Stadium"

    Ml Unajua tusiwe na tamaduni ya kuona kila afanyalo mzungu in jambo LA kuiga au anaakili kutuzidi.wapo mambumbumbu wengi tu wakizungu.hivi siwezi shangaa wakiita hivi kwani hata wao wapo washamba.ndiyo maana mm hushangaa kuona tunachekana kisa MTU kutojua kizungu,yapo mazungu hayajui na...
  11. O

    Kodi vituo vya kujazia mafuta yapamba moto

    Achilia hayo uliyoyataja mm ule mchezo was kuweka mafuta ya 20000 wanaweka 5000 sasa watakoma maana risiti inatoka na being nimeziona puma safi sana wametuumiza na wizi huo.
  12. O

    Kufunga vituo vya mafuta ni dharau kwa wananchi

    Nimeona siyo vyote nikauliza vilivyofungwa vimefanyaje kumbe havitumii machine maalum ya pampu ya kutolea risiti.puma total nimewakuta wanapiga mzigo kwa kuwa waliweka machine hizo kitambo.ila GBP taarifa niliyoiona mitandaoni na wao juzi wamenunua hiyo machine na kufunguliwa.Luna kamchezo hawa...
  13. O

    Makusanyo ya Kodi TRA kwa mwaka 2016/2017 yavunja rekodi, Trilioni 14.4 zakusanywa

    Mbona taarifa iliyitoka TRA inasema ni kwa July ,2016 mpaka June ,2017?
Back
Top Bottom